Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€£π€£π€£π€£ hamna ni vile tunawaongezea udambu dambu bas wanaume wa mikoani wanatuchukulia waahiniNdio kazi yenu kumbe hadi kuwaingiza vidole wanaume wenzetuπ
Weeee sijawahi kupitia hiyo hali mimi..ulete mrejesho sawaπ
Una roho nyepesi...πππππππSiwezi kupigana kweli kabisa sitanii ππ
Na hat nikiachwa naondoka sigombani ππππ
unamgonga vichwa anatuliaπ na hicho kichwa chako kama cha tysonWeeee sijawahi kupitia hiyo hali mimi..
Never happen.
Kwanza ni mdogo mdogo alafu ni muoga mno ππππ
Huyo haipingwi πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNa wewe una megawatti less than 0.05W πππππππ
Achana na kichwa changu .unamgonga vichwa anatuliaπ na hicho kichwa chako kama cha tyson
Hamna kazi kabisa ππππHuyo haipingwi πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
ππππππππ khaaaaaUkitaka nikumalizie hasira nipigie simu ukija live siweziππ
sawa sawa mzee wa koroshoπAchana na kichwa changu .
Kuwa na adabu sawaπ¬π¬π¬π¬π¬
Unataka ujue megawati zangu sio
Ungeendelea ungejua tofauti ya 20 na twentysawa sawa mzee wa koroshoπ
πππSasa ukiwa na mpenz anaekujua raha mkigombna hapigi simu anakuja live Wala yanaisha haraka wengine tukipend macho Yake yanamaliza ugomvi ila ukipiga simu unaharibu πππππππππππ khaaaaa
Wewe sasa nikuweke kwenye kundi lipi hapa.... chilopoda au molusca ππππππππ
Weeeeh. πππππππππππSasa ukiwa na mpenz anaekujua raha mkigombna hapigi simu anakuja live Wala yanaisha haraka wengine tukipend macho Yake yanamaliza ugomvi ila ukipiga simu unaharibu πππ
Huyo wa kunyimwa unyumba angalau ana hoja na huyo wa kipato Ndio unaweza kusema sababu zinaweza kusababisha unyanyaswe na mwanamke not otherwiseMalalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana.
Huyu wa kustaafu ameniuma sana.
View attachment 2791184
KiparaπUngeendelea ungejua tofauti ya 20 na twenty
Upo nyumbani alafu tena unanyimwa unyumba...πππππNi kweli lakini nyumba Zina mambo mengi sana aisee π
SipendiKiparaπ