Emotional damage, acha shobo ukiwa mjiniMiaka kama mi3 iliyopita maeneo ya mwenge nilikutana na classmate wa shule ya msingi wa miaka karibu 20 iliyopita nikamkumbuka maana tulikuwa tunakaa dawati moja alafu washikaji nikamsalimia naona jamaa anaitikia kama vile amenisahau ikabidi nimuulize unanikumbuka Mzee? Akanijibu "nakukumbuka ndio maana nimekuitikia" alafu huyoo akajikataa zake daah nilijisikia vibaya sana siku nzima ikawa mbaya kwangu.
Ni kweli, vingine vina bunduki kwenye ndimi.kwa mtu asie na haya haoni noma ila kama mm huwaga sipendi kushobokea mademu mazingira yenye watu anaweza akakupa kauli ukajikuta mwezi mzjma huna hamu na kutongoza
Certified degree of shoboYani hadi ukamgusa?
Kuna watu mna shobo kweli kweli
KE wengi huwa ni watu wa dharau sana hasa kwa watu wasio wajua na mara nyingi wanam-judge mtu kwa physical appearance yake. Hii imenikumbusha mkasa wa Madam Ritta wa Bongo star search na Bill Gate.No way, am married to a beautiful wife, nilikua tu najaribu kua social, but i learned it in a hard way. Kuanzia sasa ni mikausho tu
Huo mkasa ukoje aiseeKE wengi huwa ni watu wa dharau sana hasa kwa watu wasio wajua na mara nyingi wanam-judge mtu kwa physical appearance yake. Hii imenikumbusha mkasa wa Madam Ritta wa Bongo star search na Bill Gate.
22Umri wako tafadhali??
Ilikuaje hii mzee?KE wengi huwa ni watu wa dharau sana hasa kwa watu wasio wajua na mara nyingi wanam-judge mtu kwa physical appearance yake. Hii imenikumbusha mkasa wa Madam Ritta wa Bongo star search na Bill Gate.
Pole yake sana...
Sio mikausho tu bali mikausho mikali...No way, am married to a beautiful wife, nilikua tu najaribu kua social, but i learned it in a hard way. Kuanzia sasa ni mikausho tu
Swala hapo sio kutafuta hela, kujipenda wala chochote. Kinachomsumbua ni akili yake kuchukulia uzito jambo la kupuuzwa. Kumuongelesha mtu akakuchunia iwe unamjua au humjui sio jambo linalopaswa kukuumiza mpaka kufikia kuandika uzi hapa. Abadilishe akili yake.Bro ongeza bidii kutafuta hela na ujipende
....haiwi poa kwanini sasa akunyamzie na umemsemesha vizuri tu.Swala hapo sio kutafuta hela, kujipenda wala chochote. Kinachomsumbua ni akili yake kuchukulia uzito jambo la kupuuzwa. Kumuongelesha mtu akakuchunia iwe unamjua au humjui sio jambo linalopaswa kukuumiza mpaka kufikia kuandika uzi hapa. Abadilishe akili yake.
Hii ndio negative attitude ninayosema. Unalipa uzito jambo lisilo na uzito wowote. Ukiwa na attitude hii acha kusemesha watu basi. Nadhani ndio dawa ya tatizo.....haiwi poa kwanini sasa akunyamzie na umemsemesha vizuri tu.
Inaonekana we huna mshipa wa aibu, hoyo experience ni mbayaSwala hapo sio kutafuta hela, kujipenda wala chochote. Kinachomsumbua ni akili yake kuchukulia uzito jambo la kupuuzwa. Kumuongelesha mtu akakuchunia iwe unamjua au humjui sio jambo linalopaswa kukuumiza mpaka kufikia kuandika uzi hapa. Abadilishe akili yake.