Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Ni vile tu taarifa nyingi za waafrika hazitolewi kwenye vyombo vya habari.

Ila hapa hapa Tanzania kuna wanaume ni makatili zaidi ya huyo P Didy...

Kama yule jamaa wa kigamboni aliyemchoma mkewe kwa gunia zima la mkaa.

Watu weusi ni tatizo sana.
Kawaida hiyo, so ulikuwa unaona dingi yako akimuweka mambata maza wako kama jamaa anavyosema hapo juu?
 
Birdman ni gangster, ana ndugu yake wa damu kabisa anaitwa Terrance “Gangsta” Williams alikula mvua ya maisha ametoka juzi baada ya kukaa jela miaka 23. Walikuwa na kundi lao Hot Boyz, mbele wasanii nyuma gangsters. Noma sana
 
Diddy ni mafia.

Sasa kama Cassie maarufu hivyo anafanywa hivyo, ushajiuliza hao under age na wasiofahamika anawafanya nini? Jamaa noma sana
 
Birdman ni gangster, ana ndugu yake wa damu kabisa anaitwa Terrance “Gangsta” Williams alikula mvua ya maisha ametoka juzi baada ya kukaa jela miaka 23. Walikuwa na kundi lao Hot Boyz, mbele wasanii nyuma gangsters. Noma sana
Ndomana hakuna justice kwa mtu mweusi mambele... Wote ni watata hakuna mstaarabu..., tunajiharibia wenyewe.

Marekani sio sehemu salama kwa mtu mweusi au mwenye asili yetu. Maneno haya aliniambia Marehemu rafiki yangu aliyeishi Marekani kwa takribani miaka thelathini na mbili, akaepukana na majanga yote! Mpaka akaenda kuoa familia ya kizungu, akaja kufia Afrika kwa kuchomwa visu na rafiki aliyemuokoa kutoka Marekani mwenye asili ya Jamaica (jamaa aliwahi kuua huko alikotoka) akaja kukimbilia bongo kwa kujifichaficha, ubishani, majibizano na mpaka kufikia watu wazima kushikana mashati na kutupiana mangumi ndipo kulipomtoa roho rafiki yangu "Jonas Ilole"... Mwana aliyemuokoa kutoka marekani alimuua mchizi kwa kumchoma Visu takribani vitano mwilini mwake, vikasepa na uhai wake.

Watu weusi tunafeli sana!

Dahh! Nakukumbuka sana Mwanangu Jonas! Pumzika kaka
 
Birdman aliwah lalamikiwa na Lil Wayne kuhusu unyonyaji , Hata rick Ross aliwah toa ngoma akimchana kuhusu hizo ishu za kuwadhulumu wasaniii na producers. Hapa nawaza Wakina Skylar watakuwa wamafanyiwa unyaaaam kinyamaaa.
Ile track ya Rozay naijua... Nilioneshwa once na washkaji na niliisikiliza kwa makini. Kama Rozay aliamua mpaka kutoa ngoma na kumchana mambo yote yale itakuwa ni kweli jamaa ni muovu aliyevuka mipaka.

Ila Rick Ross hawamuwezi, hata wazungu kibao jamaa wanamkubali... Liko poa sana! Na limenyooka.
 
Kamanda kama una connection ya hizo nchi tupeane tukaoe huko... Navojua ni Finland, Denmark, Estonia, Luxembourg, Uswisi.... Leta na zingine mzee mwenzangu na Connection zake
 
Wasomali mbona ni watu poa mkuu?
 
Polisi wao washatoa tamko hawawez kumshtaki kwa video iliyotokea miaka hiyo na haijawahi kuripotiwa,,,huyo msichana alipenda hela zaid ili soo life $30mil Noma,,,pia nimesikia Kanye alishawahi kusema diddy ni mtu wao wa usalama huko
 
DIddy ana allegations nyingi sana asee toke 90s. This time inaonekana wameamua kumkaanga mazima. Ila jama ni kama lichawi hivi huwa lina escape hizi jam sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…