Aisee mpaka mimi pia nawashangaa....Mnapata wapi nguvu za kumtetea Didy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mpaka mimi pia nawashangaa....Mnapata wapi nguvu za kumtetea Didy?
Kawaida hiyo, so ulikuwa unaona dingi yako akimuweka mambata maza wako kama jamaa anavyosema hapo juu?Ni vile tu taarifa nyingi za waafrika hazitolewi kwenye vyombo vya habari.
Ila hapa hapa Tanzania kuna wanaume ni makatili zaidi ya huyo P Didy...
Kama yule jamaa wa kigamboni aliyemchoma mkewe kwa gunia zima la mkaa.
Watu weusi ni tatizo sana.
Birdman ni gangster, ana ndugu yake wa damu kabisa anaitwa Terrance “Gangsta” Williams alikula mvua ya maisha ametoka juzi baada ya kukaa jela miaka 23. Walikuwa na kundi lao Hot Boyz, mbele wasanii nyuma gangsters. Noma sanaMiaka kadhaa iliyopita nikiwa Kwenye mazungumzo na vijana fulani wa majuu maeneo fulani ya washua Nishawahi kusikia kwamba huyu na Birdman majamaa ni makatili ile mbaya!.., maovu na manyonyaji kwa wenzao. Na wasanii kibao mambele washafanyiwa unyama na dhulma na hao majamaa.
Diddy ni mafia.Aisee kwa jinsi US ilivyo, huyu career yake imeishia hapo, yaani hii haina mjadala.
Pdidy hana jipya tena. Its Over.... CCTV inaonyesha ilikuwa ni 2016 march, issue ya 2016 inakuja kumkaanga miaka 8 baadae, mazingira inaonekana walikuwa hotelini, sasa nashangaa ilikuaje waliokuwa wamiliki wa hio hotel walishindwa kutoa hizo video kwenye vyombo vya habari kipindi hiko, sijui walipewa pesa, noma mzee.
Kweli msomali ni msomali tu, nasikia ni jamii ya watu kukumaliza ukimzingua ni dk 0.
Hapo tegemea maandamano
Kama baba yake alikua mafia drug dealer sishangai Didy kuwa hivyo.Diddy ni mafia.
Sasa kama Cassie maarufu hivyo anafanywa hivyo, ushajiuliza hao under age na wasiofahamika anawafanya nini? Jamaa noma sana
Ndomana hakuna justice kwa mtu mweusi mambele... Wote ni watata hakuna mstaarabu..., tunajiharibia wenyewe.Birdman ni gangster, ana ndugu yake wa damu kabisa anaitwa Terrance “Gangsta” Williams alikula mvua ya maisha ametoka juzi baada ya kukaa jela miaka 23. Walikuwa na kundi lao Hot Boyz, mbele wasanii nyuma gangsters. Noma sana
Ile track ya Rozay naijua... Nilioneshwa once na washkaji na niliisikiliza kwa makini. Kama Rozay aliamua mpaka kutoa ngoma na kumchana mambo yote yale itakuwa ni kweli jamaa ni muovu aliyevuka mipaka.Birdman aliwah lalamikiwa na Lil Wayne kuhusu unyonyaji , Hata rick Ross aliwah toa ngoma akimchana kuhusu hizo ishu za kuwadhulumu wasaniii na producers. Hapa nawaza Wakina Skylar watakuwa wamafanyiwa unyaaaam kinyamaaa.
Kamanda kama una connection ya hizo nchi tupeane tukaoe huko... Navojua ni Finland, Denmark, Estonia, Luxembourg, Uswisi.... Leta na zingine mzee mwenzangu na Connection zakeUnataka kusema Mkuu umeshaanza kumpiga vibao yule Mpenzi wako ambaye hamna hata miezi 3 pamoja 😜🙌
Muhimu kujifunza kujizuia hasa unapopatwa na hasira 🙏 (Hii ni mbinu pia ya kudeal nao hao wanaotupatia utamu wa kitandani)
Zipo njia nyingine ikiwemo kuachana naye huyo mpenzi ambaye unadhani ni msaliti kwako mara Kwa mara hivyo hukulazimu kumtia makofi ili kum-shape tabia
Hofu yangu ni kwamba upo mstari mwembamba sana kati ya Uhai na Mauti.....unaweza kumpiga mtoto wa watu kumbe ndiyo ilikuwa Siku yake ya kuondoka Duniani, hivyo maisha yako yote ukaishia gerezani
Maisha bado ni matamu haya
Kuna Nchi ina Wanawake wengi ambao wamekosa Wanaume wa kuwaoa, ndiyo huyo Mwajuma ndala ndefu aje akuharibie maisha kirahisi?
Unabisha nini sasa?!Pdidy sio msomali nani alikudanganya
Hujaelewa... Hao aliowataja wana tabia ya kuwashawishi na kuwaingilia wanaume wenzao kwa sababu ya utajiri wao!Mwe snoop nae kafilimbwa?
Wasomali mbona ni watu poa mkuu?Aisee kwa jinsi US ilivyo, huyu career yake imeishia hapo, yaani hii haina mjadala.
Pdidy hana jipya tena. Its Over.... CCTV inaonyesha ilikuwa ni 2016 march, issue ya 2016 inakuja kumkaanga miaka 8 baadae, mazingira inaonekana walikuwa hotelini, sasa nashangaa ilikuaje waliokuwa wamiliki wa hio hotel walishindwa kutoa hizo video kwenye vyombo vya habari kipindi hiko, sijui walipewa pesa, noma mzee.
Kweli msomali ni msomali tu, nasikia ni jamii ya watu kukumaliza ukimzingua ni dk 0.
Hapo tegemea maandamano
Dah! hatari........na bado imevuja tena.Inadaiwa kuwa Diddy alinunua video hiyo ya hotelini kwa Dola 50,000 alipobaini amenaswa kwenye kamera kwa wakati huo.
Hujaelewa... Hao aliowataja wana tabia ya kuwashawishi na kuwaingilia wanaume wenzao kwa sababu ya utajiri wao!
Elewa kwanza ndo ulete maswali na maoni.
50 atakuwa aliliwa na D,ndo maana ana hasira naye.Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
DIddy ana allegations nyingi sana asee toke 90s. This time inaonekana wameamua kumkaanga mazima. Ila jama ni kama lichawi hivi huwa lina escape hizi jam sana.Aisee kwa jinsi US ilivyo, huyu career yake imeishia hapo, yaani hii haina mjadala.