Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Pdidy sio msomali nani alikudanganya
 
Wamemfungia na safari hii hatoboi. Tetesi ni kwamba jamaa alikua akihonga sana kufunika maovu yake. Lakini pia kuna mtu so powerful kwenye bunge la congress amemzingua, so musika akavujisha madudu yote kwa vyombo vya usalama
 
Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
Tatizo la didy alikua akitumia pesa kufunika madudu yake, sikuzote pesa hazi guarantee 100% success, at one point ukweli wote hutoka nje, ukiona mpaka black wenzako wanakutenga ( na si 50 tu) japo kuwa 50 amekuwa akitangaza madudu yake before tukio hili, ujue didy ana shida. Even black community inakutenga kuna shida
 
Hata ufanye mambo mema kiasi gani siku dark side Yako ikiumbuka you are over mchizi legacy yake ndio Ina decline hivyo

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
Ni kweli Mkuu

Hoja yangu ni vyema kujua kujizuia hasa unapokuwa na hasira

Mwanaume makini hawezi kumpiga Mwanamke, japo najua wanakera sometimes

Natolea mfano, Shemeji yenu alipokuwa Mjamzito alikuwa ana visirani sana pamoja na maneno ya kukera

Ilibaki kidogo nimtie makofi, nilifanikiwa kujizuia Kwa kutomjibu neno lolote kutoka kwenye kinywa changu

Niliwasha gari nikaenda Mjini, nikacheki mpira huko then nikapita baa Moja hivi nikachoma Kuku mzima na kumfungia

Nimefika nyumbani nikampatia yule kukuchoma, then nikaingia chumbani.

Baada ya muda alikuja Chumbani kuniomba msamaha, kilichofuatia ITV....🤗
 
Ntaondoka na hyo ya kucontrol hasira...hawa watu wanakera sana, Moja nlikuwa na malengo nae aisee alikua na mdomo huyo nlikimbia mwenyw sikutaka kum-wamba makofi, Kuna kipindi mawasiliano yalidorora akaja dar kimya kimya maana anapofanyia kazi sio mbali akaenda geto direct siku ya kufa nyani bn😁siku zote siachagi funguo siku hyo nlimwachia dogo flan wa chuo aliniomba ili angalie mpira


Yule dogo akaingiza manzi yake akaichapa vzr ila yule manzi aliacha baadhi ya vitu na dogo hakuondoa nlipigiwa makelele najaribu kumuelewesha lkn waaapi ndo kipindi pekee nlikaa na opposite sex na Sina hata mzuka
 
Pole Mkuu

Kwa muda nilioweza kuyaishi maisha ya Ndoa, nimegundua Mwanamke ukimtunza vizuri (kula vizuri/Kulala Pazuri/mavazi/Saluni/usafiri n.k) then ukamnyima tendo huwa anawehuka.

Ndiyo wakati ambao atakuwa na kisirani/ hasira za mara Kwa mara

Ikifika hiyo stage, hakikisha unamnyoosha kweli kweli Kwa bed

Mpige tatu tatu Kila Siku Kwa Siku tatu mfululizo hutauona huo mdomo wake Wala kisirani chake 😅 🙌

Pia hata kama una makoloni yako sehemu, hakikisha hayajui hata Kwa bahati mbaya.

Hakikisha huna ushahidi wowote wa kumfanya ahisi unachepuka
 


Inanikumbusha waziri mmoja wa zamani Zimbabwe, walifanya uchunguzi ikaonekana ana kesi ya kujibu...alisema tu "...I am not sinking alone..." Akimaanisha kwenye hilo sakata, wakiamua kumgusa, ataondoka na Kijiji ilibidi kesi ifungwe tu.
 
Qumamee kwa video hii hata bongo huponi
G
 
Daaah we ni fala kweli🤣🤣 kwa hiyo namaste komasava aliliwa.... Daaa nchi ngumu Sana hii..
🤣🤣
 
Ntazingatia ushauri hasa wa kupiga Moshi tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…