Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Mondi au?
 

CB is extremely talented na alifanya lile tukio akiwa bado mdogo, he had time to recover and talents to back him up. Huyu diddy hana talent nor muda to recover. By the time watu wanaanza kusahau tayari ashakua mzee. Diddy kayatimba.
 
Unajidanganya mdogo wangu! Ikithibitika atashughulikiwa vbya sana, bidhaaa zake zitasusiwa na makampuni anayofanya nayo kazi yatasitisha mkataba
Mi wala simtetei, nachomaanisha angekuwa mtu mwingine kwa allegations zote zilizotolewa against him angeshakuwa behind bars siku nyingi, anapambana sana kujisafisha, ila this time..... ni suala la muda.
 
Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
Ni vile tu taarifa nyingi za waafrika hazitolewi kwenye vyombo vya habari.

Ila hapa hapa Tanzania kuna wanaume ni makatili zaidi ya huyo P Didy...

Kama yule jamaa wa kigamboni aliyemchoma mkewe kwa gunia zima la mkaa.

Watu weusi ni tatizo sana.
 
Huu muucik una password, daah kweli kiumbe chenye mbunye Ni hatari sana. Embu fikiri una Pesa ndefu kama diddy afu kimanzi kimoja tu kinakuchanganya akili ... Mpaka unapandwa na mahasira.

Huu mchezo hauhitaji hasira.. Za chini chini Ni kwamba Kuna kampun kubwa la vinywaji ndio lipo nyuma ya hii misukosuko! Kwa sababu diddy naye ana biashara kubwaa ya vinywaji.. mambo ya kibiashara. Naye didy nasikia alitaka kuwapoteza na kuwatoa watu kufwatilia ishu yake kwa kuanzisha beef kati ya Drake na Kendrik sasa baada ya watu kuanza kusahau kesi yake naona mahasimu wanakuja na hii video, nomer sana.
 
Ila zile video za bidden akipiga denda watoto under 16 walisema ni deepfake.. 😂😂😂🚀
 
Ila zile video za bidden akipiga denda watoto under 16 walisema ni deepfake.. 😂😂😂🚀wajanja wameanza kutafuta uraia wa Africa mapema
hizi kesi walianza na MJJ those days
 
"Inadaiwa kuwa Diddy alinunua video hiyo ya hotelini kwa Dola 50,000 alipobaini amenaswa kwenye kamera kwa wakati huo."
 
Ndio maana matajiri kama kina Elon musk hawana time na mbunye...🤣
 
Loss Angeles County District Attorney amesema muda umepita wa kumshitaki Diddy kutokana na statutes of limitations.

Diddy amepona kushtakiwa ila reputation yake iko zero kwa sasa.
 
Duhhh we jamaa, kwa uzito wa allegations za Diddy bado unamtetea?
Kila mtu ana dark parts lakini kuna dark parts nyingine ni beyond humanity aiseee
Ana way too many and too strong allegations
Kwa details za yule dada na namna alivyosettle nae chap it's clear jamaa ni mnyama
 
P didy amekwisha wazungu wamedhamiria kummmaliza kabisa. Ila huyo demu Casie amsaidie tu Pdiddy kupotezea hili sakata kwasababu wazungu wanamtumia.
Umesoma au kusikiliza summary ya allegations za Cassie kwa jamaa?

Sidhani kama ungependa binti yako au dada yako apitie aliyopitia.
For starters 37 yrs kudate 19 yrs girl despite umri wa binti kuwa legal, it gives pedophilia vibes kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…