SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

wazo zuri sana hili,mngetengeneza PDF ya Bidhaa mbalimbali na bei zake,kama mwongozo kwa mteja!
Nahitaji air fryer ya bei ya 75,000/- zikawepo nyingi nikachagua.
Bei zinabadilika sana mkuu hivyo kuandaa pdf mara kwa mara itakuwa ngumu.

Karibu whatsapp(0745645035) nikutumie picha mbali mbali
 
Karibuni wakuu muendelee kujipatia huduma zenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom