SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

Hellow members,baada ya kufanya kazi ya kutuma mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kwa muda sasa,rasmi nimeanza kutuma mizigo kwenda nchi jirani za Tanzania kama nilivyozitaja hapo juu.

Kwa uthibitisho wa kazi zangu unaweza pitia uzi wangu "Nafuata,nafunga na kutuma mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku"

Hatua ni zile zile,unaniambia mzigo wako uko wapi ndani ya Dar es salaam,mimi ninafuata kisha ninafunga na kutuma kwenda moja ya nchi husika nilizotaja hapo juu.

Mawasiliano: 0745645035
Facebook: Lewis MVincent
Instagram: Lewis MVincent

"HUDUMA NI ZA HARAKA NA KUAMINIKA"
Hivi mkuu nawezaje kutuma pesa toka Tz kwenda bujumbura? Kwa njia tofauti na bank!! Nitashukuru
 
Screenshot_20231026-122639~2.jpg
 
Back
Top Bottom