Kariakooking1978
JF-Expert Member
- Jul 11, 2023
- 549
- 1,078
- Thread starter
- #101
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran mkuuKaribu sana
Zambia -solweziGharama huwa tunazingatia:
1.Thamani ya mzigo
2.Uzito wa mzigo
3.Ujazo wa mzigo
Karibu sana,kama una mzigo unaweza niambia unakwenda nchi gani kati ya hizo juu nikufanyie makadirio ya bei.
90,000-120,000/= bei itarange humo mkuu.Kwa kuwa bado sijaona ujazo wa mzigo kama utachukua nafasi kubwa au ndogo ndani ya gari.Zambia -solwezi
Ni kama 25kgs
Thamani Kama 500k
Asante nimepata mwanga nimeshachukua namba90,000-120,000/= bei itarange humo mkuu.Kwa kuwa bado sijaona ujazo wa mzigo kama utachukua nafasi kubwa au ndogo ndani ya gari.
Karibu sana.Asante nimepata mwanga nimeshachukua namba
🤣🤣🤣Mkuu ulikuwa unawaza nini akilini.
Picha yangu ni hiyo kwenye profile.Weka picha yako kwanza tukuone yani niko zangu kanda ya ziwa sikujui hunijui nitume hela kwako? Inahitaji roho ya malaika kabisa
Hapana,nasifirisha kutoka Dar es salaam kwenda S.A,kinyume chake hapana.kuna mzigo upo South Africa kutoka UK, vipi mnaweza safirisha kuja Tanzania
Asantee sana mkuu.Mkuu hongera sana, nimetuma sana mizigo Congo(Lubumbashi), Lusaka, Malawi hizi nlikua napeleka pale luvanda, transporter ya kwa husein na chumvi
Kwa ndani nlikuwa natuma sana Tunduma, mpanda, Morogoro Tanga na Zanzibar
Na mda kidogo nimetoka huko