SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

Mhhh aisee kumuamini mwafrica mwenzio ni changamoto [emoji28]
Watu gani hao mpk bidhaa ifike home ndio ulipe mbona chai hii
Ni kama vile huwajui hao watu hivyo unawaulizia uwajue,

Lakini pia ni kama vile umesha conclude kua hakuna watu kama hao hivyo ni chai.

Huoni kama hujiewi aisee?
 
Ni moja ya idea kali Mno Hongera katika Hilo lakini kuna kitu bado kimeshort apo kwenye ilo wazo nafikili kama utaondoa ukakasi uliopo apo utaokota maokoto ya kutosha...staki nishie hapo labda nizungumze jambo kidogo ambalo litaweza kukupa Mwanga zaidi...


1. jaribu kutengeneza utaratibu wa malipo utakaoendana na wateja wa kwenye hii nchi[emoji848]wateja wapo wa Aina nyingi Sana hapa kwetu tanzania na hii ndo imekuwa changamoto kubwa kwa wafanya biashara wengi[emoji24]

Tofauti na nchi zilizo endelea kuwa na mifumo (muongozo) ambayo inawasaidia wafanya biashara kupunguza kwa asilimia kubwa changamoto za wateja pasua kichwalakini Hapa kwetu hicho kitu hakuna Sasa basi iyo mifumo yako uanzie hapa kwenye hizi comments[emoji23] nimeona kuna mmoja apo amekwambia kuwa akipata mzigo ndipo atalipia ww ukamwambia kuwa huwa kuna lipa kwa Simu ya Duka iyo ni cheche ushapoteza mteja[emoji29] vijana wanasema kwaiyo Vitu kama hivyo apo nahisi nimekupatia Mwanga kidogo kwa upande huu na ukibutua apo umeshinda mkuu.

2. tengeneza connection ya ww na maduka na iyo connection isiwe ya maneno Bali iwe ni muunganiko wa kuaminika madukani kwa asilimia 100% kiasi kwamba kuwepo na uwezo wa kuchukua bidhaa na ukaisafirisha na baadae kulejesha malipo bila zogo "apo jipange kidogo nafikili na mtaji unahusika kwa mwanzo maana sio kwa kuaminika huko katika maduka ya kileo so kama utakuwa na uwezo wa ww kununua alafu ukajilipa baadae baada ya kumfikishia mteja wako itakuwa poa pia...

3. tatu na mwisho bado apo kuna cheche naziona kwenye swala la kusafirisha mizigo maana ww unaonekana unaenda kukabidhisha kwenye mabasi, au maroli sindivyo? Sasa kama ni ndivyo sio mbaya kwa kuanzia lakini sio salama kwasababu unatengeneza cheni ambayo mteja Haijui incase ikitokea chochote bado mteja maelezo yako hatakuelewa kama sijakosea hivyo ni vyema ukawa na usafili shaji wa namna hiyo lakini tengeneza mazingila ya mizigo yako iwe ni (MAALUMU) kwenye iyo company ya ilo bus au roli usitumie tuuy kienyeji inaweza kula kwako siku moja...

Nawasilisha kama kuna mahala nimetimbanga utaniwia radhi mkuu.

Asante.
Umetema madini ya maana sana mkuu hapa.Nimekuelewa nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Screenshot_20231022-002426~2.jpg
 
Back
Top Bottom