Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

. Kumbe bakhresa naye alikuwa anagawa vibunda kwa walalahoi??

. Maisha yanabadiilika sana zamani watu walikuwa na staha, lakini kwa maaadili na utu umepungua na ndo Maana mtu kufanya kituko cha ajabu haoni shida kabisa. + uvivu wa kufanya kazi na kupenda kupanda ganda la ndizi
 
Lugumi alichofanya ni kumtusi kwa vitendo na kumdhalilisha hadharani. Kijana chief Godlove anachonga sana mitaani na mitandaoni akijinasibu kwamba yeye ni tajiri sana

Yeah ,CGL nadhani ataacha kupiga mikelele sasa ,kwamba watu wana mindinga ya maana tena latest....Hiyo Benz Wagon ya 2024 ni mali zote za CGL ,ukijumlisha thamnani ya nyumba yake na gari zake zote 6 na chenji inabaki.

Hata ile anayosema uchafu nadhani amewapiga madongo viongozi wa serikalini wanavyovimba na LC 300 ,bei za serikalini kwa hizo ndinga zinaanzia milioni 400.
 
Mimi Nahisi CGL Ni kioo Tu ila Objects Nyuma ya Kioo Ni Lugumi..

Kuna kauli ile aliitoa Kuwa "mnaona mimi ni Tajiri na Mimi Nakujaga Kuokota huku"

So huenda CGL ni Taswira ya Lugumi...

Sililiza Maongozi angalia Muonekano wao angalia kila Walivyokuwa wanatembea angalia maongezo ya Lugumi linganisha na CGL
 
Mkuu heshima yako naona leo umeandika udaku. Mimi nikiandika hua una comment

Nawasilisha....
 
Hiyo nyumba ya Lugumi IPO Magu huko, alishawahi kutualika futari, he is living huge, sio kwa viwango vya kijijini/ mkoa, hata Oysterbay, Masaki na Upanga Ana nyumba kibao za biashara
Nyumba iko Masaki. Kwa kuheshimu faragha yake siwezi kuitaja. Kwa maoni binafsi ni nyumba kali sana hapo mtaani
 
hao lugumi hawanaga maisha ya mbwembwe kabisa alaf wanapiga ibada ana mdogo wake mmoja anaish ilala mta wa kilwa kipande gar za kimarekqn kali tumezionea na kuzshikia kwa karib kupitia kwake ma humer sjui tundra chevy ila mdogo wake anaeendesha alikua anakuja sana jiran na duka letu la spea ana mshkaj wake alikua anaitwa juma jamaa aling mchesh mpole mdogo wake na uyo lugumi na mda wa swala mskitin hana mbwembwe ila ayo ma ndinga anayosukuma leo range kesho ana porsche walipigag hela inasmekan ya tenda yakufunga finga print vtuo vyte vya polis pia kaka ake uyo lugum mwnyew tenda nying za govt alkua km dalal wa serkal enz za jk ila za chin ya kapet pia wauza ngada bt very humble family nakubalian na ww uliposema sio wazee wa mitandao na sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…