Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Jana ilikuwa siku ya Afrika.

Katika kuadhimisha siku hii, MTV base waliandaa show iliyohusisha wasanii mbalimbali kama vile Davido, Burna Boy, Sauti Soul, Nandy na wengine wengiii..

Diamond Platnumz ni miongoni mwa walio perform jana usiku. Aliimba wimbo wa JeJe, Aisee ubunifu wake na full performance imebeba sifa kote ndani na nje ya Afrika.

Nani mwingine alitisha zaidi...???
 
Hata Harmonize alitisha sana tu
 
Diamond akipewa platform kama hivi anajua kupania. Na hicho ndio anachowazidi hawa Bongo fleva wenzake, ni mwendelezo wa organisation kwenye kazi yake.
 
Davido nae alitisha...ila Mzee wa jeje alitisha sana...sema alikosa lile buti tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa ana chuki iliopitiliza[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…