Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Mbona mim skusikia,nilichosikia n kusema nandy alifanya vbaya
 
Kijana makini sana huyo b dozen sijawai msikia akimsema mondi vibaya tofauti na wajinga wajinga akina diva
Kweli kabisa bdozen Hana mambo ya kipuuzi hajawahi kumdis kabisa mondi
 
!
!
Shida Hiyo Perfomance Ukiiona Unaweza Kudhani Sio Huyu Tunaemsikilizaga....Ngoje Niipitie Maana Hat Hao Kina Bdozen Wanasifiaga Ujinga Wa Fiesta Hivyo Hivyo Ukija Kuangalia Shoo Mbovu Sana. Sijui Hawa Jamaa Wangemshuhudia Bob Marley Ingekuwaje
 
Mmhh we nawe hupendi show off nimekushtukia
 
Mmhh we nawe hupendi show off nimekushtukia

!
!
Sasa Mtu Anapanda Anaanza Piga Keleleeeee, Watu Wangu Wa Dar Es Salaaam Mambo Vipiiiii!!? Ukimsikiliza Unaweza Kujua Mbona Hawa Watu Wawili Tofauti Aisee.....Halafu Anakaa Dakika Tano Hahahahahahaha Pumbavu Sana Aiseee
 
angekuwepo mzee ruge wallah asingeongea ivi kabisa na wote wasingekuwa na stori hiyo kwenye kipindi
 
mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking
ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba
 
Kwani Ali Kiba anasemaje kuhusu hili swala?

Eti daimondi kazidisha show off kulikuwa na haja gani ya kuonyesha nyumba yake, si bora angeonesha kijiji cha makumbusho ya taifa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nyimbo zake nyingi ni copies za Fela Kuti
 
mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking
ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba
Kwani unazani mtoto wa Tandale anamfuatilia Drake?
 
mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking
ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba
Kwaiyo drake yeye ndo kwanza kupita na idea ya kushow mjengo ulivyo?

Ukiwa na jealous bana...hata mtu akipost gari lake tu utaona kama ana show off [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dozen ameshakuza jina na brand
Yake +umaarufu kwa hyo anaongea anavotaka
 
Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..

Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..

Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…