Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Almasi[emoji3]
Kwani kiba anasemaje[emoji3]
Au hapendi "kujionyesha"[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa bdozen Hana mambo ya kipuuzi hajawahi kumdis kabisa mondiKijana makini sana huyo b dozen sijawai msikia akimsema mondi vibaya tofauti na wajinga wajinga akina diva
Kwa wale mliosikiliza XXL siku ya jana walikua wanaongelea tamasha la MTV Base Africa kwa kushirikiana na YouTube, na Tanzania tulikua tunawakilishwa na wasanii wawili bibie Nandy na mtu mzima Diamond Platinumz.
Basi katika kusifia tamasha hilo b dozen akasema “kama kunifukuza kazi Clouds mnifukuze ila Almasi ameua sana kwenye performance “
Mmhh we nawe hupendi show off nimekushtukia!
!
Shida Hiyo Perfomance Ukiiona Unaweza Kudhani Sio Huyu Tunaemsikilizaga....Ngoje Niipitie Maana Hat Hao Kina Bdozen Wanasifiaga Ujinga Wa Fiesta Hivyo Hivyo Ukija Kuangalia Shoo Mbovu Sana. Sijui Hawa Jamaa Wangemshuhudia Bob Marley Ingekuwaje
Mmhh we nawe hupendi show off nimekushtukia
Tulia dawa ikuingieHow does this concern us ?
Kwani Ali Kiba anasemaje kuhusu hili swala?
mnaponiambia Burnaboy ananyimbo nzuri hapo ndipo huwa siwaelewi.
Labda mziki wake ni mzuri mkiwa kwenye vilabu vya ulanz kidogo ile nyimbo inaitwa Angelina nyenginezo kwangu ni kelele tu
n kama anaimba nje ya beat hv yan cmuelewielewi
nnachomsifu amejijengea identity yake anamziki wa peke yake labda wengine wamuige kama alivyo fanya Nuhu mziwanda
Kwani unazani mtoto wa Tandale anamfuatilia Drake?mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking
ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba
Kwaiyo drake yeye ndo kwanza kupita na idea ya kushow mjengo ulivyo?mbona ya kawaida, kwanza kapita na idea ya video ya Drake hahah na yeye kauonyesha umma vile mjengo ulivyo + ndinga alizozipanga parking
ujanja ujanja tuu kucheza kunambeba