Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Kwa wale mliosikiliza XXL siku ya jana walikua wanaongelea tamasha la MTV Base Africa kwa kushirikiana na YouTube, na Tanzania tulikua tunawakilishwa na wasanii wawili bibie Nandy na mtu mzima Diamond Platinumz

Basi katika kusifia tamasha hilo B-Dozen akasema “kama kunifukuza kazi Clouds mnifukuze ila Almasi ameua sana kwenye performance “
 
"Wana ni diss alafu wana nikubali kiana.......wana ni kubali kiana..kubali kiana......."(Kwa sauti ya Chid )

Huyo ndiye Mondi " hapigiwi anacheza pakavu anateleza and you can't stop him sana sana atakupoteza......."
 
Back
Top Bottom