Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina mkuu...hivi vyakula havihitaji uumwe ndo utumie kama unaweza kuvipata tumia hutojutaMkuu asante sana binafsi kuna jambo kubwa nimejifunza hapa....Ubarikiwe sana
😀😀😀😀[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hili tatizo bhn
Unajua wengi wanafikiri msongo/kutokujiamini ndo kuna leta ukosefu wa nguvu za kiume kumbe ukosefu ndo unasababisha msongo/kutokujiaminiCorrect
Unachozumguza ni kweli kabisaa mkuu maana kuna kipindi nilijaribu kuchange baadhi ya vyakula na niliona kabisaa mabadiliko yani naanza rasmi huu mfumo ulichoandika.Amina mkuu...hivi vyakula havihitaji uumwe ndo utumie kama unaweza kuvipata tumia hutojuta
Pole sanabig up mkuu ngoja nijaribu na mimi japo hali ya maisha ngumu kupata vyote
Mwenyewe nimeamua kubadilisha mfumo wangu wa maisha kabisa...nilikuwa najua kunywa supu asubuhi ndo afya kumbe ni ujingaUnachozumguza ni kweli kabisaa mkuu maana kuna kipindi nilijaribu kuchange baadhi ya vyakula na niliona kabisaa mabadiliko yani naanza rasmi huu mfumo ulichoandika.
Maziwa ya ngombe mkuu ya tanga fresh sijui mkuu ila kama hauna access kabisa unaweza tumia tanga frshMkuu maziwa ya Tanga Fresh au maziwa haya ya kawaida ya ng'ombe?
Haswaaaaa asifukunyueHahahahahahah hayo mengine achana nayo mkuu maana target yangu nikuwasaidia wengine
Wanga huwezi kukwepa kwa asilimia 100 kwani ni muhimu ili kukamilisha mahitaji kamili ya mwili mkuu wanga n muhimu ila utumie kwa uangalifu....maana madhara yake n makubwaMkuu asali kijiko kimoja kutwa Mara tatu na ukasema mlo asubuh maziwa na yai la kienyej na mchana Dona na maharage na uck wali maybe kunde mkuu MI umesema tusile wanga lkn ktk misos yako ya mchana imetawala wanga au labda cjakuelewa
Kwaio mi nataka nianze tibaWanga huwezi kukwepa kwa asilimia 100 kwani ni muhimu ili kukamilisha mahitaji kamili ya mwili mkuu wanga n muhimu ila utumie kwa uangalifu....maana madhara yake n makubwa
Kuna mixer moja nimeiona kwenye mtandao dada mmoja anauza mixer ya tangawizi asali kitunguu saumu naifuatilia niteleta mrejesho ingawa vitu vya kuchanganyiwa vinakuwa na madhaifu mengi kuanzia usafi/ ubora na beiKuna kipindi fulani nilikua nakula vitunguu swaumu na asali kila siku asubuhi na jioni sema tumbo lilikua linavuruga vibaya mno mpaka nalala chini lakini matokeo yalionekana lakini mambo ya kumenya vitunguu yakanishindaga maana watu wanauliza aloo vitunguu vya nini? Unaumwa nini wewe enh?
Watu wako tayari wakushambulie wasiangalie ujumbe...Haswaaaaa asifukunyue
Wanatoka nje ya madaWatu wako tayari wakushambulie wasiangalie ujumbe...
Anza mkuu asali mbichi inapatikana almost kila sehemu now vitunguu saumu hakuna soko halina matunda kila sehemu yapo kazi ni kwako mkuu.Kwaio mi nataka nianze tiba
Hivo vitunguu swaumu unafanyajeAnza mkuu asali mbichi inapatikana almost kila sehemu now vitunguu saumu hakuna soko halina matunda kila sehemu yapo kazi ni kwako mkuu.