Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Unachozumguza ni kweli kabisaa mkuu maana kuna kipindi nilijaribu kuchange baadhi ya vyakula na niliona kabisaa mabadiliko yani naanza rasmi huu mfumo ulichoandika.
Mwenyewe nimeamua kubadilisha mfumo wangu wa maisha kabisa...nilikuwa najua kunywa supu asubuhi ndo afya kumbe ni ujinga
 
Mkuu asali kijiko kimoja kutwa Mara tatu na ukasema mlo asubuh maziwa na yai la kienyej na mchana Dona na maharage na uck wali maybe kunde mkuu MI umesema tusile wanga lkn ktk misos yako ya mchana imetawala wanga au labda cjakuelewa
 
Kuna kipindi fulani nilikua nakula vitunguu swaumu na asali kila siku asubuhi na jioni sema tumbo lilikua linavuruga vibaya mno mpaka nalala chini lakini matokeo yalionekana lakini mambo ya kumenya vitunguu yakanishindaga maana watu wanauliza aloo vitunguu vya nini? Unaumwa nini wewe enh?
 
Wanga huwezi kukwepa kwa asilimia 100 kwani ni muhimu ili kukamilisha mahitaji kamili ya mwili mkuu wanga n muhimu ila utumie kwa uangalifu....maana madhara yake n makubwa
 
Kuna kipindi fulani nilikua nakula vitunguu swaumu na asali kila siku asubuhi na jioni sema tumbo lilikua linavuruga vibaya mno mpaka nalala chini lakini matokeo yalionekana lakini mambo ya kumenya vitunguu yakanishindaga maana watu wanauliza aloo vitunguu vya nini? Unaumwa nini wewe enh?
Kuna mixer moja nimeiona kwenye mtandao dada mmoja anauza mixer ya tangawizi asali kitunguu saumu naifuatilia niteleta mrejesho ingawa vitu vya kuchanganyiwa vinakuwa na madhaifu mengi kuanzia usafi/ ubora na bei
 
Back
Top Bottom