Shujaa wa uokozi ajali ya Precision alijikuta yupo wodini

Kijana anastahili zaidi ya li ten yaani 10m.
Kwanza ameokoa uhai wa watu 26 hili ni jambo zito.
Pili ameisaidia na kuiondolea serikali aibu kwa kushindwa kuokoa.
Mwisho walipa kodi wameepushwa na kifo ambacho kingepunguza nguvu kazi na kodi eboo
Tupewe namba yake tumchangie
 
Huyu ndio kijana anayetakiwa kupewa kazi kitengo cha uokoaji tena uyu anatakiwa kupitishwa kazini bila ya kufanyiwa usaili
 
Namuona hapa kaolewa laki tatu kavaa hood ya orange
 
Huyu ndio kijana anayetakiwa kupewa kazi kitengo cha uokoaji tena uyu anatakiwa kupitishwa kazini bila ya kufanyiwa usaili

Anastahili kabisa kupewa kazi
 
Apelekwe training USA na wenzie kadhaa wavuvi na wapate leseni ya diving, ikiwezekana waombewe internship USA coast guard, wakirudi wawe kwenye kikosi maalum cha uokozi baharini na ziwani.

Kuna kazi nyingine zinahitaji watu wenye vipaji na sio ajira tu za kuwapa watu na kuwasomesha, Hao vijana na wazee wavuvi by proffesional ni talented divers, ukiwaongezea na mafunzo wanakuwa expert kwenye hiyo field na kuwatrain wengine na wengine.
 
aseee yuna huyo mpumbavu sijui ni nani?hebu imagine familia ya huyo rubani ikisikia hilo tukio.watajisikiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…