Hongera kumpiga tafu jamaaNili joke aweke namba then atoke shukrani kama kapata ila jamaa kuanzisha thread π΄
Kwa SISI wakristo Yesu kristo alipo kua anaiubiri INJILI YA BWANA KULE GALILAYA aliwai kuambiwa na watu HUYU SI MTOTO WA YOSEFU YULE FUNDI SELEMALA.π€Mbona ni kama vile umeitoa hiyo elfu 3 kwenye mfuko wako wa Suruali kisha ukaiweka kwenye mfuko wako wa Shati halafu ukajipongeza!
Mdogo angu mambo vip?Sio id ya mtu mmoja
At least usiwaumize watu ikiwa huwezi kumsaidia basi at least usiwaumize watu πHongera kumpiga tafu jamaa
Sio wote wenye moyo wa utoaji hapa
Kumbe nasi wazee tunapaswa kujifunza kuchota baraka za mwisho mwisho Kwa kusaidia wenye changamoto kama ulivyofanya wewe
Hata sijaelewa ulichokiandika hapa,Kwa SISI wakristo Yesu kristo alipo kua anaiubiri INJILI YA BWANA KULE GALILAYA aliwai kuambiwa na watu HUYU SI MTOTO WA YOSEFU YULE FUNDI SELEMALA.π€
Infant humu ndani bare in mind Kuna watu wazuri mnoo na wenye KUSAIDIANA mambo mbali mbali so kama hiyo ELFU TATU imekutoa kihungurila chukua ndimu limao na maji kwa sanaa
All in all, Amini kwamba Good people are still ALIVE.
Dr hawezi kuwa na hizi akili , huyu ni kijana fulani katandaza miguu kwa shemeji yake na leo kapata buku la visunguraNa yeye karidhia kuanzishiwa uzi wa 3k? πΉ
Dr manyau nyau acha kujitekenya na kucheka mwenyewe bhana..!!
Ya umoja wa mataifa au ya SADC πΉHivi tuliishia wapi kuhusu lile swala letu la kuanzisha mahusiano? π€
Duru zinasema id yako nyingine πΉJamaa sijui kafikilia nini huwezi kua labda ni kukwama kwa kiasi gani infact Mimi nilikua natania TU.
So BINADAMU HATUFANANII
Una id nyingine πΉNisamehe mkuu sikujua kama ulichukia hivi
Na sio kitu cha kujivuniaVyovyote ila umasikini ni mbaya
Sipend kuni sogesha af sura ina wadanganya wengine tuna sura ya kitotoMdogo angu mambo vip?
Who knows πΉπΉDr hawezi kuwa na hizi akili , huyu ni kijana fulani katandaza miguu kwa shemeji yake na leo kapata buku la visungura
Aseee...natimiza ahadi yangu ya kumshukuru wazi wazi ambayo tulikubaliana kufanya hivi atakapo nitumia hiyo hela
Umesema sahihi kabisaAt least usiwaumize watu ikiwa huwezi kumsaidia basi at least usiwaumize watu π
Muhimu SANAAAAAA mzee wangu
Hako kajamaa kaliko anzishiwa uzi ni kachoko,kanatumia wanaume hela jf ili wakapakua marinda,cha ajabu kajitu kenyewe kamejichokea na maisha choka mbaya,elfu 3 tu kanataka kuanzishiwa uzi ili katangaze soko lake la kuliwa tope.ANGALIZO
Ila hela ya mwanaume sometimes huwa hailiwi kienyeji
Hakukua na haja ya kuanzisha thread Mimi nilimwambia aweke namba na anishukuru akipata unaweza ku refer kwenye uziiiDuru zinasema id yako nyingine πΉ
Ila kwann ulikubali akufungulie uzi?
Mwenzio kaona bora alipe fadhila na ahadi mlizokubaliana..!!
Njoo PMYa umoja wa mataifa au ya SADC πΉ