Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

Mkuu akili ni nywele kwa umri wangu na maisha NAYO ishii na haja gani ya kufanya bullying

Kwa faida ya nani ili iweje mkuu tuheshimiane tisichukuliane powa powa wengine tupo humu for recreational so take it easy.
Mzeebaba unareply kwa kasi kuliko hata mwenye uzi mwenyewe.

Hii si ni shuhuda ya jamaa yetu, au ndo umekuja kuchukua maua yako.??

Jf ina vituko hii.
 
ERoni naomba afu kumi, nitakuamzishia uzi naahidi. Thanks in advance.
 
Niliona alimwambia aweke namba yake hadharan amtumie hela na amshukuru hadharani nilidhan labda angemtumia hata 10 lakini ndio hivyo tena ila kwa hii JF usikute muanzisha mada na muanzishiwa mada wote ni mtu mmoja katega ndoano yake azivune buku buku za wenye huruma😁🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜… Mambo ya multiple ID hayo, itakuwa kashfa ya Madaktari wa JF (PhDs) ukimwondoa Dr. Mariposa unless uje pembeni unitajie kama una ID nyingine Mjukuu πŸ€—
 
atume na kwetu tumshuru ,wewe hujashukuru bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…