Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Halafu ni
Eeh mipunga kama kawaida
Halafu nadhani ni engineer.. sasa engineer atakosaje hela.. hana hizo njaa
 
Nakesho asubuhi nampelekea chai na maandazi nihakikishe kweli yuko lupango, halafu hizi tipper za howo zishakuwa kero nchini nenda maeneo ya geita tarime ziko zinasomba marudio ya dhahabu, mawe mchanga ni hovyo kabisa madaraja yanavunjika barabara zinavurugwa, kuna barabara ya katoro nyarugusu kahama hazifai madaraja yote kwisha, kahama nyandolwa sorwa shinyanga zote kwisha, ni muda sasa tarura wapige marufuku haya malori mwisho fuso kusoma mchanga mawe kokoto marudio ya dhahabu
 
Hayo magari yapigwe marufuku, ni maharibifu sana ya barabara, kanda ya ziwa barabara hazidumu zimeharibiwa na hayo matakataka
 
Hayo magari yapigwe marufuku, ni maharibifu sana ya barabara, kanda ya ziwa barabara hazidumu zimeharibiwa na hayo matakataka
Tarura wazipige marufuku, hizi lori ni constraction equipment kama bulldozzer zikipita barabarani zinapaswa kubebwa kwenye lowbed loader, sasa sie unaikuta kijichi inashusha mchanga, bullshit
 
Mnaombeza huyo jamaa ni kama mnawahimiza mafisadi wazidi kutukamu bila huruma wowote
lakini bado huyo siyo mwenzenu kabisa, na anayejimwambafai hapo kama siyo miongoni mwao basi kazi anayo ni suala la mda tu
Huyo Kawambwa lazima arudishwe kwenye mfumo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa umemaanisha nini umeandika kifalsafa sana
 
mkuu, ukiwa huna hela, siku zote utaona waliofanikiwa ni mafisadi tu, utaona mawazili au wastaafu ni mafisadi tu, hata kama sio mafisadi. jua tu kuwa walikuwa mawazili kuwa kupambana wakapewa madaraka, na wewe pambana uwe waziri. maneno matupu ya lawama hayatakuletea ugali kwenye sahani.
 
Kakutwa shambani kwake mkuu, mzee anamakazi poa tu masaki
Aiseee! Yule jamaa kwa kweli alinitia kichefuchefu alivyokuwa anamkoromea! Halafu anavyomwita utafikri ni mlalahoi fulani! Eti Kawambwa nakuheshimu!!
 
Yaani we acha tu, anamwita utadhani anaita demu wake, si angemwita professor nakuheshimu, au mzee nakuheshimu, halafu anaongea ka dotto magari, shenzi kabisa
Haya ndiyo huwa yanasababisha mpaka watu wanatekeleza jinai. Sasa fikria una kipaja cha kuku si unalilipua? Eti linamsukumasukuma na kumtishia kumfunga kamba shenzi kabisa!
 
Nawasiwasi na jinsia yake!

Yule nadhani awekwe kwenye mahabusu ya jinsia nyingine la sivyo
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…