Hili issue imeandikwa kishabiki, huyu mzee sio dalali kama mtoa mada anavyosema, issue iko hivi huyo kijana alikuwa Diwani kata ya KIROMO binafsi nilishawahi kwazuruza naye, ana maeneo ya uchimbaji (Dalali) mchanga/kifusi maeneo ya kitopeni, toka amepewa kibali cha uchimbaji huo kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa barabara inayoelekea kwenye machimbo hayo, ili hali waathirika wa hiyo barabara ukiacha wananchi wa kawaida ni pamoja na Mzee Kawambwa na huyo mzee mrefu hapo anaitwa Madondola mstaafu wa Idara ya Usalama (DSO Bagamoyo, Chato amestaafia Kawe 2021).
Hata hivi tunavyoongea huyo kijana na wenzake wapo lockup toka jana wanasubiri kufikishwa mahakamani.