Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Mbona hueleweki unamaanisha waliopo hospital kwa ajali waliofariki ikiwemo na wa familia yako wote ni CCM!
 
Usisikilize stori ya upande mmoja, mtizame Mzee Kawambwa alivyo Cool, angalia Kijana avyoropoka HOVYO.

Huyo Mzee wala siyo dalai,, hata ingekuwa ww UNGEFANYA kama alivyofanya yy. Kelele zooote hizo mwisho wa siku ni yy mwenye makosa na kudhalilisha watu.

Hivi ww au mwingine yeyote ATAKUBALI malori ya mchanga/kokoto/vifusi / nk yakatize na kufanya UHARIBIFU kwenye SHAMBA / KIWANJA chako? Mm kuzuia eneo langu msikatishe mm ni MHALIFU?
 
Kama habari ni hii wabongo tuna roho za husda sana, tunapenda kusikia anguko la mtu na kuporomoka kiuchumi.
 
Naomba kuuliza hivi maana ya DSO ni nini na je kawe ina hadhi ya kuwa na DSO, Bagamoyo sawa sina shida nayo. Mwenye comment nieleweshe tafafhari
 
Apa naweza kukubali sasa....Maana navojua hao Mawaziri walipiga hela nyingi sana hawawezi kuwa madalali ghafla ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…