Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Sasa mbona tai na v8 sivioni!
Ukimuangalia kwa karibu utaona kama ametoka kupiga visungura.
 
Mimi nilichokuwa najiuliza hapo anaenda kumpeleka polisi kama nani? Anachomaanisha kwamba yeye anauwezo wa kuwaamrisha polisi wafanye anayoyataka.ndio maana anamuambia kuwa yeye ana nguvu.
Inaonekana hata serekali ya mtaa inamuogopa ndio maana wakawatuma hao wazee wawili.
Na pia huyo mzanzibari inaonekana kichwani hamna kitu kabisa.unamuitaje mtu muhalifu kwa kufunga barabara.kwani hiyo barabara ni mali yake?
 

Acheni basi ushabiki wa Kijinga wa kuchafulia watu majina!
Kinacho onekana hapo ni barabara iliyofungwa, pengine inapita kwenye shamba la mtu;
Hata ningekuwa mimi; mtu hawezi kugeuza kiwanja changu/shamba langu kuwa barabara bila kukubaliana.
Hayo ya udalali wa Kiwanja mmetoa wapi???
 
Kama habari ni hii wabongo tuna roho za husda sana, tunapenda kusikia anguko la mtu na kuporomoka kiuchumi.
Ukiacha uana siasa Shukuru ni PhD holder. Kweli awe dalali wa viwanja? Mtu kahudumu pale UDSM akose hata papatu papatu za mafao ya NSSF awe dalali? Nadhani kwa Tz elimu yetu haijawa saturated hivyo.
 
Huyo jamaa hapo alipewa kibali kuchimba mchanga na Halmashauri, Machimbo ambayo yamesababisha hilo eneo kujaa maji na kuleta mafuriko! Kawambwa ameenda hapo baada ya wanachi kumuomba akawaidie! Huyo jamaa mpaka muda huu yupo ndani.
Afadhali, maana hana adabu kbisa, avunjwe miguu yote
 
Huyu alichukua rushwa nyingi sana kwa watu wenye projects waliotaka kufanya kazi na wizara zake ama kweli fedha haramu siyo nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…