Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mtoto wangu anasoma Kennedy House mtaala ni wa Cambridge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautaki kuukubali huo ukweli basi andamana watakusikia na watakuelewa kwa faida yako na familia yako na mwanao.Kwani wanakulazimisha,unahiari ya kumkataza mwanao, ila nikukumbushe tu, kuna kamsemo ka wahenga kuwa kama elimu ni ghali jaribu ujinga. Kwa nyoongeza kuna mhenga alienda mbali zaidi akauandalia wimbo msemo huo wa mhenga.
Tena wanalazimisha na kutaka mzazi ulipie?Imekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Kuna kitu kinaitwa kupumzika au kutuliza akili ndomana walitengeneza kalenda kuwa Kuna muda akili inatakiwa ifikirie vitu vingine ili ukirudi kwenye Jambo la msingi akili inakuwa active na concentration inakuwa Bora zaidi.Kwani wanakulazimisha,unahiari ya kumkataza mwanao, ila nikukumbushe tu, kuna kamsemo ka wahenga kuwa kama elimu ni ghali jaribu ujinga. Kwa nyoongeza kuna mhenga alienda mbali zaidi akauandalia wimbo msemo huo wa mhenga.
Huu ni wizi tena ulovuka mipaka form2 eti hawafungi sababu koronna mwaka jana lhawakusoma wanafidia likizo hamna mwaka huuNi kweli kabisa.
Hii inatokana na walimu wa shule hizo kuwa wavivu kumaliza syllabus.
Kingine ni kwamba ma director wa shule pia huchelelewa kuwalipa walimmu mishahara au kutowalipa kabisa na hivyo walimu hawafundishi.
Wanakuja kukurupuka mwezi wa 5 umekaribia na ndiyo matokeo yake wanaleta hizi HOLIDAY PACKAGE.
Serikali iingilie kati hili suala maana madirector wanaadhbu mtu asiyetoa HOLIDAY PACKAGE
Ndo maana mtu akiwa na pesa peleka.mtoto wako International school. Kule hakuna huo ujingaImekuwa ni kawaida kwa watoto wanasoma Shule za Binafsi kuwabebesha watoto mafurushi ya kazi za kufanya wakiwa likizo almaarufu Kama HOLIDAY PACKAGES na wakati mwingine watoto wanaendelea kwenda shuleni wakati wa likizo kwa kile kinachoitwa HOLIDAY COACHING. Sasa hizi ni likizo?
Likizo zingeachwa huru ili watoto wawe huru kuwasaidia wazazi wao kazi za nyumbani au kusafiri kwenda kuwasalimia bibi zao huko vijijini ili wafahamu asili yao na pia kujumuika na ndugu zao wengine.
Tungeomba Serikali ilitazame hili jambo na ikiwezekana itoe mwongozo kuhusiana na jili jambo. Tusiwafanye watoto wetu kuwa kama ndondocha, kuna maarifa mengine ambayo watoto wanayahitaji zaidi ya hesabu, fizikia na jiorafia.
Naomba kuwasilisha.
Sio wavivu bali ni Biashara wanafanya,Ni kweli kabisa.
Hii inatokana na walimu wa shule hizo kuwa wavivu kumaliza syllabus.
Kingine ni kwamba ma director wa shule pia huchelelewa kuwalipa walimmu mishahara au kutowalipa kabisa na hivyo walimu hawafundishi.
Wanakuja kukurupuka mwezi wa 5 umekaribia na ndiyo matokeo yake wanaleta hizi HOLIDAY PACKAGE.
Serikali iingilie kati hili suala maana madirector wanaadhbu mtu asiyetoa HOLIDAY PACKAGE
Hii ni biasharaHata za serikali pia!
Hizo A 1 zimeanza leo?Usiwaamshe walio lala, tafuta 'A.I' uone inavyochuana vikali na 'N.I'.
Hizi ndo watoto wanasoma kwa raha zote za Dunia hakuna hata Homework za kijinga, kila kitu kinaishia shuleniInternational Schools hazina hayo mambo
Kwani wanakulazimisha,unahiari ya kumkataza mwanao, ila nikukumbushe tu, kuna kamsemo ka wahenga kuwa kama elimu ni ghali jaribu ujinga. Kwa nyoongeza kuna mhenga alienda mbali zaidi akauandalia wimbo msemo huo wa mhenga.
Utampeleka wapi kila kona ni hivyohivyo, hizo shule zinabore sana, ni ujinga mtupu et mtoto wa shule ya msingi asiende likizo ya maana ati ni masomo ya ziada.Si unamtoa mtoto huko bwashee.
Salute mkuu, huko ndo kuna Feature, huku kwingine wazazi wanafurahia A za darasaniMtoo wangu anasoma Kennedy House mtaala ni wa Cambridge.
Hizo ni Biashara tuTena wanalazimisha na kutaka mzazi ulipie?
Hivi kama mtoto amefundishwa ipasavyo atashindwa vipi kufaulu mtihani taifa la nne, saba au form 2?
Mkuu, Elimu ya Bongo isha kiwa Biashara na hakuna kitu kibaya kama kuingiza Biashara kwenye elimu au Afya,Ubongo unahitaji mapumziko ili ufanye tafakari na organization of knowledge, madhara yake ndio hawa wasomi wenu wa bongo mnawaita 'hawezi kuconnect dots'. Hakikisha mtoto anapumzika na kusocialize wakati wa likizo sana hawa wa private school wanawaoverload sana kwenye ubongo
Huwa hadi Baby class wana tuitionHuu ni wizi tena ulovuka mipaka form2 eti hawafungi sababu koronna mwaka jana lhawakusoma wanafidia likizo hamna mwaka huu