Shule hizi kwa Dar zina hali mbaya sana, kama una mtoto au ndugu anza mipango ya kumuhamisha, heri aende mkoani

Hii Kimanga imeanza miaka ya karibuni tu. Form four ya kwanza walifanya vizuri sana, ila wanakoelekea kunakatisha tamaa...
 
Hatari sana, hiyo Kipunguni imeanza juzi tu kama sikosei hao wahitimu ndio uzao wao wa kwanza
 
Sasa shule ina darasa la watoto katibu 600! Serikali isipo ipa uangalizi maalumu na feva ni vipi watafaulu.
Heri hata wamejaliwa kunaliza kidato cha nne
 
Dah form four nilikuwa kilaza ila sio wa kupata 0 😂
Mkuu kama kiongozi mkubwa anapewa airtime kwenye media kuponda wasomi kisa yeye ana pesa mingi tutarajie nini? Ukikemea unashambuliwa kila kona kuwa una chuki binafsi kwa std seven wenye hela. Waalimu wamekuwa wakifedheheshwa hata na waokota makopo.
 
Sasa tushike lipi tuache lipi mshika dau mbona mnatuchanganya???

Humu tunaambiwa kusomesha mtoto ada mill 2 bora umpeleke huko changanyikeni akachanganyikiwe kwa sababu mwisho wa siku wote watajua kusoma na hiyo hela twende tukale beers wewe tena unasema tusiwapeleke!unataka wa kwenu tu ndiyo wasome?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…