wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! 🤣🤣Ila CCM ni katili sana huko mitaani wanasema tumejenga shule Bora kumbe matapeli yamejenga maeneo ya kupotezea muda
Angalia necta shule 50 tu halafu kama utafakari hii ni Elimu gani!! yaani kaa dakika kumi ukitafakari hivi hii Elimu inakwenda kufanya mapinduzi ya uchumi wetu!!Dah! 🤣🤣
Kule wengi si wakurya?Mbondole imekosaje hapo?
Walimu wao wenyewe hawana muda wanatembea na vispika 😄Wanafunzi wanacheza singeli watafaulu vip mitihani
wana nafuu, 0 zipo mbili tu, division 4 wapo wanaoweza kwenda chuo.Kule wengi si wakurya?
Huwa zinacharge si haba.
Kutakuwa na ongezeko kubwa la wasanii wapya wa muziki wa bongo flava.Wanafunzi wanacheza singeli watafaulu vip mitihani
Mkuu kama kiongozi mkubwa anapewa airtime kwenye media kuponda wasomi kisa yeye ana pesa mingi tutarajie nini? Ukikemea unashambuliwa kila kona kuwa una chuki binafsi kwa std seven wenye hela. Waalimu wamekuwa wakifedheheshwa hata na waokota makopo.Dah form four nilikuwa kilaza ila sio wa kupata 0 😂