Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

sawa na Tanga. Mzazi atampiga karibu na kumuua mtoto asipokwenda CHUO lakini shule za kawaida nobody cares,,... aende asiende shauri yake. Lakini CHUO, "anauawa" kwa fimbo!
 
Mbona huo Ukristo umeshindwa kuiendeleza africa ambayo imejaa wagaratia kila sememu jibu kwanza hilo swali?
Africa sehemu zote zenye migogoro utakuta chanzo ni waislam ni wengi eneo hilo eg. Nigeria,Somalia,Ethiopia,Sudan,Libya,Misri nk.

Ivyo ni ngumu Africa kupiga hatua uku migogoro inashamiri,Africa ina waislam wengi kuliko Ulaya,Urusi,Japan na America na G8
 
Vp magufuli? Acha comment za kifala we mbwa koko
Ndugu yangu ukiangalia elimu ya TANZANIA na hao wanajiita wana IQ kubwa sijui wanasoma St nini sijui utaumiza kichwa chako wote hao ni ZERO BRAIN hamna kitu wala usisutoshwe angalia mwisho wao huko UN ndio utajua hamna kitu wana elimu ya kukariri.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Sawa tukubaliane kwamba uislam ni adui wa maendeleo.
Sasa mbona huo uislam haujazizuia Uturuki,Qtaar,Malasia,Indonesia,Iran Dubai, Brunei ,Kuwait ,Oman kupata maendeleo kama ulivyo fanya Africa?
Nijibu tafadhari.
 
Sawa tukubaliane kwamba uislam ni adui wa maendeleo.
Sasa mbona huo uislam haujazizuia Uturuki,Qtaar,Malasia,Indonesia,Iran Dubai, Brunei ,Kuwait ,Oman kupata maendeleo kama ulivyo fanya Africa?
Nijibu tafadhari.
...Hizo nchi ulizotaja zina waislam 90%

...Waislam wakiwa wengi kiasi hicho uwa wanajitangazia kuwa dola la kiislam na kutambuana kuwa wao ni ndugu ivyo hawahasimiani.

...Shida ni kwa nchi zisizo za kiislam ambapo waislam wanapambana wote wasirimu kama wao na kusababisha migogoro.

Hizo nchi ulizotaja hazina sana migogoro ivyo zina nafuu ya kiuchumi ingawa haziko kwenye uchumi wa kwanza.
 
We jamaa ni mpumbavu sana kwahiyo Tz kuna mgogoro gani ulio letwa na waislam unaoifanya isiendelee?
 
Mkuu [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Yaani Hilo lizee ni lipumbavu kupita maelezo kenge huyo
 
Ni kweli mkuu
 
Kuna mazee mengine hasa haya mastaafu baada ya kutumia mafao yao vibaya hua yanawaza na kufikiria kutumia kipenyo kidogo hizi zote ni stress za maisha ya uraiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…