Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umuhimu wa elimu haupo kwenye kupata ajira peke yake. Kuna tofauti kubwa kati ya aliyeenda shule na ambae hajaenda.
Labda kwa elimu ya nchi nyingine na sio ya Tz dada.
Kwakweli dada yangu kwa msoto wanao upitia vijana walio hitimu sioni faida ya elimu ya Tz ,alafu ukizingati muda na pesa walizo tumia kuitafuta hiyo elimu.
Kiufupi elimu yetu imesha pitwa na wakati.
 
Tatizo la waislam kunyimwa haki nchi hii lilianza awamu ya kwanza,

Scholarship zote walipewa kina jose unategemea nn waache wahifadhi juzuu 30.
Mhhh ina maana huyu Makamo wako wa Raisi wa awamu ya nne, ule utalamu wa Maswala ya nuklea aliusomea Tanzania? Bila Nyerere kubinafsisha shule za Serikali sizani kama tungekuwa na kina Lipumba.

Tatizo ndugu zangu mnapenda kulalamika huku mkisahau kuwekeza kwenye elimu, Nyerere alizibinafsisha shule nyingi za Kikristo (Pugu,Kigonsera,Tosa ,Ndanda nk) waikristo hawa kulalamika wakaja na mipango wakachangishana, then wakajenga shule zao nyingine ambazo leo hii zinafanya vizuri.

Nyie wenyewe mnatusema "mnapigwa sana kwenye michango.......",ila hizo shule ndio michango ya wakristo na ndio maana kama umewafuatilia Roma au KKKT kama wakitafuta eneo la kujenga kanisa jipya huwaga wanachukua ekari za kutosha, sasa njoo baada ya miaka 10,utaona kuna kanisa,primary, secondary, chuo cha ufundi, kumbi za sherehe ,nursery na hospital nk. Sasa nyinyi ndugu zangu utamaduni huo hamna, kwenye michango wavivu mnaona kama shekhe anafaidi na familia yake.
 
St. Francis wako 90 na wote wana Div. 1
St. Mary's Ulete wako 90 na wote wana Div. 1
Raise another excuse, this one has hopelessly failed.
 
Mfano Kikwete na Dr Slaa na kichwa?
 
Ww ni kilaza kweli yaani unalingisha na mendeleo ya watu na dini ?

Kama Ukristo ndio ulio wafanya waendelee , mbona huo Ukristo hauja zifanya Uganda, Congo,Burundi,malawi,zambia,S.sudani,
Zimbabwe, ambao raia wake na zaidi ya asilimia 90 ni wakristo ziendelee?

Na kama uislam ni adui wa maendeleo mbona haujazizuia Uturuki,Qtaar,Malasia, Indonesia,Iran,Oman,Brunei Dubai ambazo asilia 98 ni waislam kuendelea?

Watu wanakesha kuumiza vicha kwa ajili ya kuendeleza nchi zao alafu ww unaleta upuuzi wa dini hapa.
 
ukisoma mjadala na comment za watu utagundua kwanini Tanzania bado masikini, na utagundua kumbe hakuna haja yakuilaumu CCM.

watu wale wale wanaoishutuma CCM na mfumo duni wa elimu ndio watu walewale leo hii wanawatukana waislamu na kuwaona ni jamii pumbavu ambayo yenyewe ndio chanzo cha matatizo yao.... tukumbuke hawa waislam ni zaidi ya 40% ya population ya Tanzania... watu wale wale ndio wanashangilia watoto wao kupata Div one chini ya mfumo ule ule unaolalamikiwa...
 
tutambue pia tunapowatukana waislam ambao ni watanzania wenzetu na kuwatukuza christiana ambao ni watanzania wenzetu...tunakuwa wote tuko utumwani na kuendeleza ili slogan ya divide and rule...

Ni jukumu la kila Mtanzania kupaza sauti watanzania wote wapate equal education regardless dini zao... na hizi shule za kidini zisiwepo zibaki shule mali ya watanzania na dini zibaki kama imani tu....

Huko mbeleno waislamu nao watajifunza wataunda shule zao na kusoma kwenye shule matokeo yake Taifa lazima limeguke..
 
Hao uliowataja ni kati ya wangapi dhidi ya uwiano wa wakristo kiufupi mnajiona kila kitu mnastahili akiwa raisi muislamu mnamfuatilia sana teuzi zake mpaka mnasema anapendelea ila akiwa mkristo waislamu hawana habari wapo bize na mashindano ya qur an,

Nasikia kabla mzee wa msioga hajaingia madarakani mlikuwa mnapata mgao moja kwa moja kutoka serikalini halafu ndo mnataka tushindane na nyinyi.
 
Yule kiongozi ktk nchi ya demokrasia kuongea wataongea sometimes wataongea yakweli na sometimes ya kipuuzi,Magu mlisema Sukuma Gang, Kikwete wakasema kajaza waislam NSSF,Mkapa mkasema nchi inaongozwa na wakristo nk na huwezi kuwazuia watu kuongea.Hivi inamaana hapo Pugu, Ndanda, Kigonsera, Tosa nk walisoma wakristu peke yao baada ya Nyerere kutaifisha?

Acheni kulalamika nyie,kuweni na mipango na muaminiane kwenye michango yenu la sivyo mtaishia kulalamika. KKKT na Roma hawapoi leo wala kesho na Kila siku wanajenga shule na vyuo vya kutosha.
 
Watoto wengi wa Kiislam wanasoma kwenye shule za St Kayumba kama ilivyo kwa watoto wengi wa kitanzania kutoka familia duni....
Unamaanisha waislam wengi wana hali duni kiuchumi?
 
Nilipo kutana na watu Wame Soma hapa hapa Tanzania na hawajuh kusoma kiswahil wala kingereza badala ya kiarabu ndio nilicho ka Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…