Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Shule na wanafunzi 10 bora mwaka 2021

Pia kuna Shule za Zanzibar! Yaani kuzikuta mkiani kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa, ni jambo la kawaida kabisa! Sijui kuna tatizo gani kule mahali! I wish wangejitenga tu na kuanzisha Baraza lao la Mitihani, ili na wenyewe waanze kuonekana kwenye 10 bora!

Na naamini huo wakati ukifika, tutashuhudia shule kama Mchamba wima, zikipambana na Kiembe samaki kuwania nafasi ya kwanza! Huku majina ya akina Ali Vuai, Mtumwa Said, Rahma Seif Jumbe, Ali Kombo, Ameir Makame, Pandu Ame Kificho, nk. Yakitamalaki kwenye 10 bora zao.
Ha ha haaaaa....
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mengi humu yamesoma kayumba ila ni machambuzi mazuri ya shule bora TZ.
 
Pia kuna Shule za Zanzibar! Yaani kuzikuta mkiani kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa, ni jambo la kawaida kabisa! Sijui kuna tatizo gani kule mahali! I wish wangejitenga tu na kuanzisha Baraza lao la Mitihani, ili na wenyewe waanze kuonekana kwenye 10 bora!

Na naamini huo wakati ukifika, tutashuhudia shule kama Mchamba wima, zikipambana na Kiembe samaki kuwania nafasi ya kwanza! Huku majina ya akina Ali Vuai, Mtumwa Said, Rahma Seif Jumbe, Ali Kombo, Ameir Makame, Pandu Ame Kificho, nk. Yakitamalaki kwenye 10 bora zao.
Elimu iondolewe kwenye mambo ya muungano
 
Hahahaaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naona shule pamoja na wanafunzi wa kiislam kuna tatizo kwenye haya matokeo.

what's wrong??

Shule 10 bora form 4
1. Kemebos - Mkoa wa Kagera
2. St. Francis - Mbeya
3. Waja Boys - Geita
4. Bright Future Girls
5. Bethel Sabs Girls - Iringa
6. Maua Seminary - Kilimanjaro
7. Feza Boys - Dsm
8. Precious Blood - Arusha
9. Feza Girls - Dsm
10. Mzumbe Secondary - Morogoro.

wanafunzi 10 bora form 4
1. Consolata Prosper Luguva - St. Francis Mbeya
2. Butoi Ernest Kangaza - St. Francis
3. Wllhemia Steven - St. Francis
4. Cronel John - St Francis
5. Merry George Ngoso - St Francis
6. Holly Beda Lyimo - Bright Future Girls
7. Brandina - St. Francis
8. Imamu Suleiman - Feza Boys
9. Mfalme Hamis Madili - Ilboru
10. Clara Straton - St. Francis

Shule 10 bora form 2
1. St Francis Girls - Mkoa wa Mbeya
2. Kemebos - Kagera
3. Graiyaki - Mara
4. Canossa - Dar es salaam
5. Tengeru Boys - Arusha
6. St. Monica Moshono Girls - Arusha
7. St. Augustine Tagaste - Dar es salaam
8. Centennial Christian - Peani
9. Bethel sabs Girls - Iringa
10. Bright Future Girls

Wanafunzi 10 bora form 2
1. Geovin Macha - Shule ya Jude Arusha
2. Moses Masome - Heritage Pwani
3. Pius Tairo - Tengeru Arusha
4. Henry Shelembi -Jude Arusha
5. Shilanga Malegi - Heritage Pwani
6. Loi Kitundu - Feza Girls - DSM
7. Joshua Leo - Tengeru Boys Arusha
8. Brian Chille - Marian Mkoa wa Pwani
9. Cornel Karoli - Jude Arusha
10. Elizabeth Msengi - St. Monica Arusha.

shule 10 bora darasa la 4

1. Twibhoki - Mara
2. Graiyaki - Mara
3. St. Peter Claver - Kagera
4. Green Star - Shinyanga
5. Kwema Modern - Shinyanga
6. Kikodi - Ruvuma
7. Bohari - Kagera
8. Rocken Hill - Shinyanga
9. Musabe - Mwanza
10. Mtuki - Dar es salaam

wanafunzi 10 bora darasa la 4
1. Joel Leonard - Libermann
2. Falima Mwenura - Green Star Junior
3. Goodluck Mtaki - Green Star Junior
4. Careen Slaa - Sasa
5. Joyce Ndonde - Wonder Kids
6. Samirah Mnali - Wonder Kids
7. Jonathan Maziku - Green Star
8. Balkis Majowe - Wonder Kids
9. Christopher Kileo - Green Star
10. Doreen Sanare - St Francis De Sale
We jamaa hivi leo ukimbiwa uchague kati ya Ndugai na Asaad utakaa upande upi?
 
Mkuu hivi unataka kuniambia Ndugai na Asaad nani kichwa?
Umetumia vigezo gani kuwalinganisha hao wawili, na mimi nikikuambia kati ya Marehemu Mkapa na ali Hassan Mwinyi nani alikuwa na uwezo mkubwa katika uongozi? Jibu ni Mkapa..

Nikirudi kwako tukiamua kufanya sampling ya watu 100 utakutana na muislamu mwerevu 1 wengine wote waliobaki ni kawaida kabisa.
 
Umetumia vigezo kuwalinganisha hao wawili, na mimi nikikuambia kati ya Marehemu Mkapa na ali Hassan Mwinyi nani alikuwa na uwezo mkubwa katika uongozi? Jibu ni Mkapa..

Nikirudi kwako tukiamua kufanya sampling ya watu 100 utakutana na muislamu mwerevu 1 wengine wote waliobaki ni kawaida kabisa.
Halafu 99 ni wakristo? Nyie wasomi lisaidieni taifa liendelee basi!
 
Hiyo list yako haina uhalisia kwa kuwa, kwa record zangu karibia nusu ya shule hapo juu zina wanafunzi kati ya 7 na 25 kwa darasa. Hivi utawezaje kushindanisha shule yenye wanafunzi 145 kwa darasa na shule yenye wanafunzi 9?
Na ukute hiyo yenye 9 walianza 35 wengine wote wakarudishwa ili mwishoni ionekane wamefaulu wote
Nilipenda pia kupata list ya shule kumi bora zenye wanafunzi angau zaidi 45 ambao ndio wastani wa darasa moja (hapo sijaongelea shule nyingi tu zenye angalau mikondo 3 ( A, B, C na kuendelea)
Nakushauri ufute hiyo list yako kwani haina maana yoyote labda kwa wale makanjanja!
Siyo kweli Mkuu,mbona matokeo yapo wazi tu.Nenda kwa shule moja moja ujionee Idadi ya Wanafunzi kwa hizo Shule. Karibu zote zina wanafunzi zaid ya 50,why udanganye wakati kila kitu kipo wazi tena kwa website ya NECTA 🙂
 
Back
Top Bottom