Pia kuna Shule za Zanzibar! Yaani kuzikuta mkiani kwenye matokeo ya mitihani ya Kitaifa, ni jambo la kawaida kabisa! Sijui kuna tatizo gani kule mahali! I wish wangejitenga tu na kuanzisha Baraza lao la Mitihani, ili na wenyewe waanze kuonekana kwenye 10 bora!
Na naamini huo wakati ukifika, tutashuhudia shule kama Mchamba wima, zikipambana na Kiembe samaki kuwania nafasi ya kwanza! Huku majina ya akina Ali Vuai, Mtumwa Said, Rahma Seif Jumbe, Ali Kombo, Ameir Makame, Pandu Ame Kificho, nk. Yakitamalaki kwenye 10 bora zao.