Shule ya Msingi Olympio inayomilikiwa na Serikali yarudisha nyumbani wanafunzi wasiolipa ada

Ni Kweli kabisa Mkuu sasa shida ni kuupiga mwingi mpaka upate chanse pale maana wahindi wote na baadhi ya raia wakigeni nao wanagombania pale
pambana,laki 3 kwa mwaka unakosa?au unapataka asome ist.hopac?
 

Mzazi wa mtoto yupo hivi
Huyo mtoto sijui itakuwaje [emoji28][emoji28]

Waalimu wana tabu
 
Hivi kwanini serikali isianzishe shule kama hizi angalau moja kwa kila halmashauri?
Wale walimu wenye Bachelor wanaowapeleka kufundisha st kayumba wangewapeleka huku.
 
Sukuma gang kaumbuka alitaka watu waseme wakati wa Magufuli hiyo ada haikuwepo lakini katolewa nishai.
 
Sema mikondo ila its not practical darasa moja wakae watoto 500, mkondo waweza kuwa A mpaka G labda!

Sema ukiona shule inagombewa hivyo ujue iko njema.Hata bunge primary pazuri sema sijajua ada zake
Bunge hakuna ada ila kupata nafasi yake andaa kama 100-200k.
 
Kuhonga sio laki 3 ni laki 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…