Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Akae hapo hapo.Hili jambo limenikwaza sana maana mwanangu yuko grade 4 na tayari nimeshaskia fununu kuna utaratibu wa shule kulazimisha watoto wakae boarding kipindi cha likizo...najiandaa kupambana nao vikali.
Usikubali asilani abadaniHili jambo limenikwaza sana maana mwanangu yuko grade 4 na tayari nimeshaskia fununu kuna utaratibu wa shule kulazimisha watoto wakae boarding kipindi cha likizo...najiandaa kupambana nao vikali.
Kama watu wengine watakupangia maisha ya mtoto wako basi huyo mtoto hayuko salamaMm nadhan tusiwalaumu wazazi wanaopeleka Watoto Boarding wakiwa wadogo.
Pengine ni hiyo ratiba ndio imechangia maamuzi ya hao wazazi.
Hamisha mtoto haraka shule nyingi unalialia nini? Mbona ukienda sokoni unachagua mchele unaoutaka na hupigi makelele kuwa kuna watu wanauza mchele mbovu.Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Nyie ni wazazi wajinga kabisa mnashindwa kuwalinda watoto wenu. Mwanao anasoma shule kama hiyo bila wewe kujua kinachoendelea? Nani alimpeleka hiyo shule? Ukishampeleka mwanao shule hufuatilii kwa undani uone maisha yake? Huu ni uzembe wa hali ya juu sana. Kuna mzazi alihamisha mtoto wake hapo kwa sababu wanapiga watoto kama punda na wanasema wanajivunia kupiga watoto ili wawe na adabu eti wazazi ndiyo wamewaruhusu. Shauri yenu.Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Mi naonaga ni mkatili mzazi anaepeleka mtoto boardingPole sana ndugu. Ila na sisi wazazi tumezidi yaani mtoto wa primary unampeleka boarding yaani miezi mitatu hujui mtoto anakula nini anaendeleaje maana hao watoto wanatishwa sana wasiseme mambo ya shule. Najua saivi utakuwa tumejifunza kitu.
Jua hakuna mtu duniani anayeweza kumpenda mtoto wako kuliko wewe.
Kwa sisi tulio Soma boarding school za secondary nikiona mtu anampeleka mtoto mdogo primary boarding naona mzazi ni msaliti wa mwanae.
Watu ni wajinga kupitiliza. Mtoto wako usimpomlea nani atakusadia? Dunia ya leo imejaa watu-wanyama halafu mtoto mdogo unakwenda kumlaza shule.Kama watu wengine watakupangia maisha ya mtoto wako basi huyo mtoto hayuko salama
Darasa la nne ilishakatazwa hadi na serikal wasilazimishwe kukaa boarding
Hao watoto ni wadogo sanaaa
Hizi shule zinachangia sana ushenzi
Ila wazazi muda mwingine mjitathimin yaañi ada unatoa wewe tena gharama kubwa sana then shule inaamua kufanya inavyojisikia bila kuomba maoni yenu wazszi how..Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Wizara ilikatazaToka la Kwanza alijua kabisa hyo shule ina huo utaratibu
Shule za dar nyingi zina huo utopolo
Inawezekana mwalimu akikamatwa atawataja wenzake na mengine mabovu yatajulikanaChukua p
Chukua polisi kamata huyo mwalimu,tia rock up.Wenzake watamfuata huko muwekane sawa
Yaani sipati hata pichaWatu ni wajinga kupitiliza. Mtoto wako usimpomlea nani atakusadia? Dunia ya leo imejaa watu-wanyama halafu mtoto mdogo unakwenda kumlaza shule.
Mambo Mrs BesigyeMnamshambulia tu mzazi...!
Nimechekaaa,yaani kama mimi nijikute tu kweni anasomea kurusha rocket😅Me chuo huko .mtoto mwenyewe mmoja kama moyo
Huyu Mzazi ni wa hovyo kabisa, mpumbavu sana. Mtoto wa darasa la 4 boarding ya nini? Mtihani wa darasa la 4 una maana gani hata kama mwanao atashindwa?Wewe ni mzazi mpumbavu kumweka mtoto wa grade 4 boarding. Unamkatili mtoto wako.
Cc LIKUD
Yaani ghafla kila mtu kageuka mzazinboraMzazi ameomba ushauri wa kisheria, ila anachokutana nacho ni matusi tu na vichambo! Inastaajabisha sana.
Poa dogo za kwakoMambo Mrs Besigye