Na haya mamitihani ya hovyo wayafute , sidhani kama mtihani wa darasa la nne una maana yoyote. Halafu wizara ipige marufuko boarding kwa primary school, na watoto waingie darasani saa mbili na kutoka iwe mwisho saa tisa.
Nimeshangaa mambo ya mtihani WA darasa la nne 2025 wakati wizara ilikataza .ila sishangai maana hii nchi matamko ni mengi utekelezaji sifuri...Wizara ilikataza
Ila hizi shule nyingi zina mambo hayo
Mimi kuna ujinga mmoja niliuona
Niliamuamisha mwanangu ndani ya muda mchache sana
Sikusubiri kupata stor yoyote ile
Wakanipigia simu kwanin unamuamisha mtoto
Nikawaambia ujinga niliouona
Wakaniambia kwa ukanda huu shule yetu ndo nzuri blah blah nyingi
Nikawaambia akisoma hapo akimaliza moja kwa moja anakua Rais wa nchi??
Nikamwambia mainiletee huo ujinga mimi wa kunyanyasa watoto
Usivumilie ujinga kisa matokeo mazuri
Kuna ma T.O sasa hivi wanafundisha tution huko
Mtoto wako usiforce afaulu kwa cost ya afya yake na utimamu wake wa akili
Utapoteza vyote
Wazazi WA dar ni WA kupiga maweHiyo mitihani imeshafutwa. Wazazi wengi hawajui hata sera ya elimu inakwendaje ?
Sasa watoto wa darasa la nne wanafanya nini boardingHiyo mitihani imeshafutwa. Wazazi wengi hawajui hata sera ya elimu inakwendaje ?
Sasa watoto wa darasa la nne wanafanya nini boarding
Ndio maana nasema, serikali imeshindwa kusimamia. Shule zina nguvu kuliko serikali ndio maana wanafanya wanavyotaka. Na ni shule nyingi tu sio hiyo tu.Hilo swali kawaulize waliowapeleka boarding ?
Ndio maana nasema, serikali imeshindwa kusimamia. Shule zina nguvu kuliko serikali ndio maana wanafanya wanavyotaka. Na ni shule nyingi tu sio hiyo tu.
Huyo mtoto ukimuacha hapo nitakudharau sana. Mtoe mtoto mtafutie shule nyingine nzuri.Niko visiting day leo hapa shuleni nimekuta mwanangu wa grade 4 kapigwa sana sehemu za jichoni hadi kutafuta hawezi.
Ameibiwa mswaki, dawa, ndoo za kuogea, nguo za michezo nk, kwa kifupi hajaoga zaidi ya wiki mbili, alienda kushtaki kwa Mwl Gudluck akamjibu USINISUMBUE.
Mind you walikataa wazazi tusione mabweni wanakolazwa watoto na wakaweka sheria ya std 4 kuanza masomo saa kumi na mbili asubuhi na kutoka saa kumi na moja na nusu jioni kuanzia J3 - Jmosi.
Kwanini wachanganye wanafunzi wa Primary na Secondary bwenini? Kuna uovu mkubwa sana unaendelea pale, najua vyombo husika vifanye uchunguzi maana kwa majibu hayo ya huyo mwalimu inaonekana shule ya Kikatili sana ile.
Nampeleka mtoto hospitali hapa, naombeni msaada wa kisheria wanajukwaa.
Sure, dunia imebadilika sana ! Mtoto mlee mwenyewe hapo nyumban, shule asome dayWewe upo kama mimi, tena ikiwezekana hata 5 na six atatokea nyumbani
Mtaje jina ili usionekane na ww bwege.Imagine mzazi analipishwa ada milioni 3.
Mzazi huyo ni mteja wa hiyo shule anaepeleka faida ya mamilioni ya hela kwenye shule. Lakini mwanae anateseka hapo shuleni ila mzazi anakuja kulia lia na kuomba msaada jamiiforums
Huyu mzazi ni mteja bwege ambaye hajui maana ya Value for money. Na hajui maana ya Customer is king.
Soma mwenyewe maelezo yake kwenye screenshot ujue wateja mabwege wakoje
View attachment 3264517
Mzazi amezingua sana aisee. Hata kama hawezi kupigana na hao walimu basi at least awashtaki kwenye mahakama amuondoe mtoto wake shule na apate fidia ya madhila aliyopata. Sio kulia lia mitandaoniImagine mzazi analipishwa ada milioni 3.
Mzazi huyo ni mteja wa hiyo shule anaepeleka faida ya mamilioni ya hela kwenye shule. Lakini mwanae anateseka hapo shuleni ila mzazi anakuja kulia lia na kuomba msaada jamiiforums
Huyu mzazi ni mteja bwege ambaye hajui maana ya Value for money. Na hajui maana ya Customer is king.
Soma mwenyewe maelezo yake kwenye screenshot ujue wateja mabwege wakoje
View attachment 3264517
Ila mmesoma vizuri alichoaandika Mkuu?Kabisa mkuu. Huyu mzazi ni katili na anakimbia majukumu ya kumlea mtoto ktk umei ambao anatakiwa kuwa beneti na mzazi. Std4??? Huyo mtoto anatakiwa awe anatokea nyumbani kwa level hiyo.
NAKAZIAMpumbavu wa mwisho wewe! Mtoto wa Grade 4 unampeleka boarding ukasaidiwe kulea? Ona sasa wanamchanganya na secondary na kumpiga juu..
Mtoto kuanzia darasa la 1 hadi 6 anatakiwa kwenda day school ili awe chini ya usimamizi wa wazazi.
Malezi ya mtoto kwa maana ya makuzi ni wajibj wa Mzazi mwenyewe na sio