KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
photo_2026-02-04_11-54-35.jpg
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni, na adhabu iliyotolewa ni kupeleka tofali 20.

Nilimsaidia, lakini nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa kuhusu utaratibu huo. Wakati bado nikiwaza juu ya jambo hilo, haikupita hata wiki moja nikakutana na jirani yangu eneo la saiti nikiwa nakagua mafundi. Alinifuata kuniomba tofali, akisema kuwa mwanae anatakiwa kupeleka tofali 15 kwa sababu ya kukosa kwenda shule siku moja.
photo_2026-02-04_11-54-44.jpg
Baada ya kutafakari na kuona kuwa utaratibu huo si rafiki, nilimshauri mzazi huyo asipeleke tofali hizo. Hata hivyo, mama huyo aliniambia kuwa endapo hatapeleka tofali hizo, anaambiwa arudi nyumbani na mtoto wake au afike shuleni awe anamfundisha mwenyewe.

Nilipoona mzazi huyo amejawa na hofu ya kupinga maamuzi hayo, niliamua kuuliza kwa watu wengine kuhusu utaratibu huo. Kati ya niliowasiliana nao, nilikutana na wazazi kadhaa waliokumbana na changamoto hiyo hiyo. Baadhi yao walilazimika kulipia fedha shuleni kwa ajili ya ununuzi wa tofali pale waliposhindwa kuyaleta.

Nilipouliza tofali hizo zinatumika kwa ajili ya nini, niliambiwa kuwa zinatumika kujenga uzio wa shule hiyo, ambayo ipo pembezoni mwa barabara inayotokea Kinyerezi kuelekea Mbezi.

Kwa upande wangu, siwezi kulikalia kimya suala hili. Huu si utaratibu rafiki wa utoaji wa adhabu, na sidhani kama kuna mwongozo wowote wa elimu unaotambua adhabu za aina hii.

Natoa wito kwa mamlaka husika, ikiwemo TAMISEMI na Wizara ya Elimu, kupiga marufuku adhabu za aina hii ambazo zinaongeza mzigo kwa wazazi. Ikiwa kuna umuhimu wa kujenga uzio, ni vyema Serikali ikatenga bajeti kwa ajili ya ujenzi huo, au iandaliwe utaratibu mbadala ulio rafiki, shirikishi, na unaohusisha wananchi kwa hiari, badala ya mtindo wa sasa unaotumika.
photo_2026-02-04_11-54-42.jpg

photo_2026-02-04_11-54-39.jpg
 
Hiyo ni adhabu ya wanaotoroka shuleni ili uzio ujengwe na wengine wasitoroke kwenye shule nyingi
 
Walimu wapo sawa kabisa iyo ipo shule zote za kata mtoto mpaka anachelewa alikuwa anafanya nn
 
Koh koh koh!

Umeona sasa. Adhabu hizi huwa zipo na kwa asilimia fulani huwa zinazaa matunda.
Hakuna kitu hicho, adhabu kama hizi si rafiki kwa shule za mjini

Mjini hakuna shamba wala vichungu vya kufyatulia tofali kama shule za kata vijijini matofali ya madongo

Adhabu inaweza kuwa sahihi lakini katika mazingira yasiyo sahihi

Block shilingi ngapi.? hadi uone ni sahihi kutuma lete 20 kama unajua kuvyatua vile

Hii itajenga mazingira ya wizi kwa walimu kwenye mfuko ya Wazazi kwa kigezo cha neno jepesi kuchelewa ndani ya kichaka cha dhamira njema tunajenga fensi_ni upuuzi na ikatazwe mara moja

Na kama mtoto mtukutu kwa ngazi ya sekondari Kuna utaratibu wa maonyo kwa mwanafunzi mpaka ikibidi kushirikisha na Wazazi

Na ualimu ni kazi za wito ukichoka acha hulazimishwi, sio unajibu Wazazi "chukua mwanao kasomeshe mwenyewe" ni maneno ya mtu aliyeshindwa na hatambui kilichompeleka hapo
 
Uongozi wa shule umesemaje?
Kwa mtazamo wangu ni budi kujiuluza swali hili kabla ya kutoa adhabu: Lengi la adhabu hii ni kufubdisha ay kupubguza hasira?
 
Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni, na adhabu iliyotolewa ni kupeleka tofali 20.

Nilimsaidia, lakini nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa kuhusu utaratibu huo. Wakati bado nikiwaza juu ya jambo hilo, haikupita hata wiki moja nikakutana na jirani yangu eneo la saiti nikiwa nakagua mafundi. Alinifuata kuniomba tofali, akisema kuwa mwanae anatakiwa kupeleka tofali 15 kwa sababu ya kukosa kwenda shule siku moja.
Baada ya kutafakari na kuona kuwa utaratibu huo si rafiki, nilimshauri mzazi huyo asipeleke tofali hizo. Hata hivyo, mama huyo aliniambia kuwa endapo hatapeleka tofali hizo, anaambiwa arudi nyumbani na mtoto wake au afike shuleni awe anamfundisha mwenyewe.

Nilipoona mzazi huyo amejawa na hofu ya kupinga maamuzi hayo, niliamua kuuliza kwa watu wengine kuhusu utaratibu huo. Kati ya niliowasiliana nao, nilikutana na wazazi kadhaa waliokumbana na changamoto hiyo hiyo. Baadhi yao walilazimika kulipia fedha shuleni kwa ajili ya ununuzi wa tofali pale waliposhindwa kuyaleta.

Nilipouliza tofali hizo zinatumika kwa ajili ya nini, niliambiwa kuwa zinatumika kujenga uzio wa shule hiyo, ambayo ipo pembezoni mwa barabara inayotokea Kinyerezi kuelekea Mbezi.

Kwa upande wangu, siwezi kulikalia kimya suala hili. Huu si utaratibu rafiki wa utoaji wa adhabu, na sidhani kama kuna mwongozo wowote wa elimu unaotambua adhabu za aina hii.

Natoa wito kwa mamlaka husika, ikiwemo TAMISEMI na Wizara ya Elimu, kupiga marufuku adhabu za aina hii ambazo zinaongeza mzigo kwa wazazi. Ikiwa kuna umuhimu wa kujenga uzio, ni vyema Serikali ikatenga bajeti kwa ajili ya ujenzi huo, au iandaliwe utaratibu mbadala ulio rafiki, shirikishi, na unaohusisha wananchi kwa hiari, badala ya mtindo wa sasa unaotumika.
HUUU USHENZI NILIWEKA HAPA MWAKA N ANA SHULE MOJA VITUKA SAME RAFIKI YANGU ALIKUWA ANALALAMIKA

KESHO YAKE NKA MPA CONNECTION NA BOSS MMOJA AKAENDA HAMAA WAKAPEWA BARUA YAKUITWA WAKAONYWA MPAKA LEO..NKAMSHAURI HAMISHA HUYO MTOTO HATOKAA SALAMA AKAINDOKA LAKINI ALIWAKOMBOA WATOTO ZAIDI YA 200.. WAKAHAMA KIBAO BAADA YA PALE
SHULE INAJENGA MABWENI ATI WATOTO WANABEBA MATOFALI ASBH NA JION NA UKIKATAA WANAKUCHAPA WEWE NKASEMA MBWA HAWA WANGEKUTA MWANANGU NINGEZAA NAO MAPACHA KUANZIA MWL MKUU
 
Back
Top Bottom