Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Hiyo ni adhabu ya wanaotoroka shuleni ili uzio ujengwe na wengine wasitoroke kwenye shule nyingiNina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni, na adhabu iliyotolewa ni kupeleka tofali 20.
Nilimsaidia, lakini nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa kuhusu utaratibu huo. Wakati bado nikiwaza juu ya jambo hilo, haikupita hata wiki moja nikakutana na jirani yangu eneo la saiti nikiwa nakagua mafundi. Alinifuata kuniomba tofali, akisema kuwa mwanae anatakiwa kupeleka tofali 15 kwa sababu ya kukosa kwenda shule siku moja.
Baada ya kutafakari na kuona kuwa utaratibu huo si rafiki, nilimshauri mzazi huyo asipeleke tofali hizo. Hata hivyo, mama huyo aliniambia kuwa endapo hatapeleka tofali hizo, anaambiwa arudi nyumbani na mtoto wake au afike shuleni awe anamfundisha mwenyewe.
Nilipoona mzazi huyo amejawa na hofu ya kupinga maamuzi hayo, niliamua kuuliza kwa watu wengine kuhusu utaratibu huo. Kati ya niliowasiliana nao, nilikutana na wazazi kadhaa waliokumbana na changamoto hiyo hiyo. Baadhi yao walilazimika kulipia fedha shuleni kwa ajili ya ununuzi wa tofali pale waliposhindwa kuyaleta.
Nilipouliza tofali hizo zinatumika kwa ajili ya nini, niliambiwa kuwa zinatumika kujenga uzio wa shule hiyo, ambayo ipo pembezoni mwa barabara inayotokea Kinyerezi kuelekea Mbezi.
Kwa upande wangu, siwezi kulikalia kimya suala hili. Huu si utaratibu rafiki wa utoaji wa adhabu, na sidhani kama kuna mwongozo wowote wa elimu unaotambua adhabu za aina hii.
Natoa wito kwa mamlaka husika, ikiwemo TAMISEMI na Wizara ya Elimu, kupiga marufuku adhabu za aina hii ambazo zinaongeza mzigo kwa wazazi. Ikiwa kuna umuhimu wa kujenga uzio, ni vyema Serikali ikatenga bajeti kwa ajili ya ujenzi huo, au iandaliwe utaratibu mbadala ulio rafiki, shirikishi, na unaohusisha wananchi kwa hiari, badala ya mtindo wa sasa unaotumika.
Walimu wapo sawa kabisa iyo ipo shule zote za kata mtoto mpaka anachelewa alikuwa anafanya nnNina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni, na adhabu iliyotolewa ni kupeleka tofali 20.
Nilimsaidia, lakini nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa kuhusu utaratibu huo. Wakati bado nikiwaza juu ya jambo hilo, haikupita hata wiki moja nikakutana na jirani yangu eneo la saiti nikiwa nakagua mafundi. Alinifuata kuniomba tofali, akisema kuwa mwanae anatakiwa kupeleka tofali 15 kwa sababu ya kukosa kwenda shule siku moja.
Baada ya kutafakari na kuona kuwa utaratibu huo si rafiki, nilimshauri mzazi huyo asipeleke tofali hizo. Hata hivyo, mama huyo aliniambia kuwa endapo hatapeleka tofali hizo, anaambiwa arudi nyumbani na mtoto wake au afike shuleni awe anamfundisha mwenyewe.
Nilipoona mzazi huyo amejawa na hofu ya kupinga maamuzi hayo, niliamua kuuliza kwa watu wengine kuhusu utaratibu huo. Kati ya niliowasiliana nao, nilikutana na wazazi kadhaa waliokumbana na changamoto hiyo hiyo. Baadhi yao walilazimika kulipia fedha shuleni kwa ajili ya ununuzi wa tofali pale waliposhindwa kuyaleta.
Nilipouliza tofali hizo zinatumika kwa ajili ya nini, niliambiwa kuwa zinatumika kujenga uzio wa shule hiyo, ambayo ipo pembezoni mwa barabara inayotokea Kinyerezi kuelekea Mbezi.
Kwa upande wangu, siwezi kulikalia kimya suala hili. Huu si utaratibu rafiki wa utoaji wa adhabu, na sidhani kama kuna mwongozo wowote wa elimu unaotambua adhabu za aina hii.
Natoa wito kwa mamlaka husika, ikiwemo TAMISEMI na Wizara ya Elimu, kupiga marufuku adhabu za aina hii ambazo zinaongeza mzigo kwa wazazi. Ikiwa kuna umuhimu wa kujenga uzio, ni vyema Serikali ikatenga bajeti kwa ajili ya ujenzi huo, au iandaliwe utaratibu mbadala ulio rafiki, shirikishi, na unaohusisha wananchi kwa hiari, badala ya mtindo wa sasa unaotumika.
Mara nyingi unawaza kama mimi, sisi tulisomba maji na kulima.Mi sioni kama kuna shida ikiwa hizo tofali haziendi nyumbani kwa mwalimu.
Na kiukweli kwa watoto wa baadhi ya shule za Serikali hasa hizi za kata ni vichwa ngumu kweli kweli.
Koh koh koh!Mara nyingi unawaza kama mimi,
Umeona sasa. Adhabu hizi huwa zipo na kwa asilimia fulani huwa zinazaa matunda.sisi tulisomba maji na kulima.
Hakuna kitu hicho, adhabu kama hizi si rafiki kwa shule za mjiniKoh koh koh!
Umeona sasa. Adhabu hizi huwa zipo na kwa asilimia fulani huwa zinazaa matunda.
HUUU USHENZI NILIWEKA HAPA MWAKA N ANA SHULE MOJA VITUKA SAME RAFIKI YANGU ALIKUWA ANALALAMIKANina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni, na adhabu iliyotolewa ni kupeleka tofali 20.
Nilimsaidia, lakini nilibaki nikiwa na mshangao mkubwa kuhusu utaratibu huo. Wakati bado nikiwaza juu ya jambo hilo, haikupita hata wiki moja nikakutana na jirani yangu eneo la saiti nikiwa nakagua mafundi. Alinifuata kuniomba tofali, akisema kuwa mwanae anatakiwa kupeleka tofali 15 kwa sababu ya kukosa kwenda shule siku moja.
Baada ya kutafakari na kuona kuwa utaratibu huo si rafiki, nilimshauri mzazi huyo asipeleke tofali hizo. Hata hivyo, mama huyo aliniambia kuwa endapo hatapeleka tofali hizo, anaambiwa arudi nyumbani na mtoto wake au afike shuleni awe anamfundisha mwenyewe.
Nilipoona mzazi huyo amejawa na hofu ya kupinga maamuzi hayo, niliamua kuuliza kwa watu wengine kuhusu utaratibu huo. Kati ya niliowasiliana nao, nilikutana na wazazi kadhaa waliokumbana na changamoto hiyo hiyo. Baadhi yao walilazimika kulipia fedha shuleni kwa ajili ya ununuzi wa tofali pale waliposhindwa kuyaleta.
Nilipouliza tofali hizo zinatumika kwa ajili ya nini, niliambiwa kuwa zinatumika kujenga uzio wa shule hiyo, ambayo ipo pembezoni mwa barabara inayotokea Kinyerezi kuelekea Mbezi.
Kwa upande wangu, siwezi kulikalia kimya suala hili. Huu si utaratibu rafiki wa utoaji wa adhabu, na sidhani kama kuna mwongozo wowote wa elimu unaotambua adhabu za aina hii.
Natoa wito kwa mamlaka husika, ikiwemo TAMISEMI na Wizara ya Elimu, kupiga marufuku adhabu za aina hii ambazo zinaongeza mzigo kwa wazazi. Ikiwa kuna umuhimu wa kujenga uzio, ni vyema Serikali ikatenga bajeti kwa ajili ya ujenzi huo, au iandaliwe utaratibu mbadala ulio rafiki, shirikishi, na unaohusisha wananchi kwa hiari, badala ya mtindo wa sasa unaotumika.
TA UPUMBAVU KAMA HUU ANDIKA WAPUUZIKINYEREZI KWENDA NO 15577Hakuna kibaya hapo Bro walimu wamefanya vyema sana haonewi mtu hapo
Tena wangeongezea hao madogo wanaotoroka wawe masaidia fundi
Nilitaka nikuzingue sema nimeona joined 2007KUPA
TA UPUMBAVU KAMA HUU ANDIKA WAPUUZIKINYEREZI KWENDA NO 15577