Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Samahani kwa kusema hivi.
Wewe ni mjinga mkuu

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mwalimu kwa kusitishiwa Ajira !!
 
Haya jamani , wazee wenzangu mliokua mnakuja kwa kutukana , msikilizeni vizuri waziri wa elimu , ameongea kwa ustaarabu sana kazi kwenu
 

Attachments

  • WAZIRI_WA_ELIMU.mp4
    5.4 MB
Wewe tafuta kazi sehemu nyingine, sio lazima ufanye kazi hapo Huruma Sec. Wamekufukuza baada ya kuona unatamani watoto, sasa unakuja kulalamika huku JF, haukuan msaada wowote hapa. Ina maana huo usagaji upo kwa form 4 tu ? Mbona form 1 had 3 wameenda likizo, ina maana hawataoa taarifa ? Aidha, hata hao wa form 4 bado wangerudi nyumbani wiki ya mwisho, je wasingetoa taarifa juu ya huo usagaji ? Ni kwel kabisa kuwa shule ilipanga kuwabakiza watoto wa kidato cha 4 kwa ajili ya maandalzi ya mitihani ijayo. Aidha, walikuwa wametangaza pia kubakiza wale watakaokuwa hawakufikisha wastani husika. Hatua zote hizo zilikuwa zibalenga maendeleo ya wanafunzi, kama ulikuwa hajaridhika nayo, ulipaswa kumwondoa mwanao badala ya kuchafua hadhi ya shule.
 
Haya jamani , wazee wenzangu mliokua mnakuja kwa kutukana , msikilizeni vizuri waziri wa elimu , ameongea kwa ustaarabu sana kazi kwenu
Si baada ya wewe kupeleka umbea wako ? Maana hujaeweleka hoja yako hasa ilikuwa ni ni baina ya usagaji na kubaki shule. Hapo hakuna lingine, bali ni wivu wa 50,000/= tu.
 
Kama una mtoto wako kamchukue mtoto wako ukae naye nyumbani likizo. Usituchose tusiohusika..
 
Kama una mtoto wako kamchukue mtoto wako ukae naye nyumbani likizo. Usituchose tusiohusika..
sasa kama hususiki umekuja kufanya nini hapa , with more than 2000 threads umekuja hapa obviously una interest na shule hio , relax and enjoy 😀
 
Mt Mary Mazinde juu ipo Lushoto sio Same, ina walimu wa kiume, sio mmoja wala wawili ni wengi tuu, hizo nyingne ulizotaja Sijui, ila mzinde hata second master ni Me.Pia kuna Kifungiro girls, St Catherine, Kongei, Now Usambara zote ni za masista zipo lushoto na zina walimu wa kiume, tena nyingine hata mkuu ni Me, kuna St wilbada, don bosco, kwa ufupi mimi ndio nilikua sijui kumbe kuna shule za masista zisizoruhusu Walimu wa kiume.
 
Kumeanza mtindo wa walimu wanaofukuzwa mashuleni huko kuwahadaa wazazi kuwa shule haina walimu mara ooh shule vile shule hivi...Mimi naijua huruma girls na mara nyingi nasali Jimboni hapo...hizi tuhuma kama ni za kweli nitajua maana nina rafiki yangu ana mtt wa kidato cha nne hapo..kama kama kuna ishu ya kubaki shule ni makubaliano ya wazazi wote..
 
Wewe umesoma hapo?
 
Napenda sana mtu anapotaka kufifisha maada atumie akili kidogo ,lakini kwa uelewa wa namna hii yako , ungesoma seminari wewe usingetoboa hata seminar kuu.
Jifunze kukemea bila ushabiki, mimi ni mzee wa litania ya mama bikira maria , na mzee wa mt anthonio wa padua , lakini siwez kufumbia macho ujinga uendelee kwenye shule pendwa tena ya kikatoliki.
Unajua shule za kikatoliki zilivyonyooka ? huu ujinga unaoanza kuota Huruma pale wewe unadhani unatetea kanisa kumbe unaua brand ya shule. Hata yesu aliwatandika mafarisayo waliokua wanageuza sinagogi kuwa nyumba ya biashara .
Ntawatandika Huruma kama wataendelea na kuzorotesha elimu shuleni pale na kufumbia macho mmomonyoko wa maadili .
Wewe geuza hii maada iwe issue ya kanisa badala ya shule , unajua kabisa hata kama wewe ni mwajiriwa wa sasa hapo , nimeongea ukweli na hakuna chembe ya uongo kwa nini unabisha? utaenda kutubu wapi dhambi hizi?
vua joho la kikanisa na wasaidie watoto walioko pale .
Nikuulize tena , katika umri wako hujawahi kusikia makaasisi wamelawiti na kunajisi watoto wadogo? hujawahi kusikia mpaka papa anaomba msamaha ?
kwa nini sisi watanzania tunaona ni fahari sana kuficha maovu kwa mgongo wa kanisa au dhehebu?
siku mtoto wako akinajisiwa na kaasisi utanyamaza?
shame on you
 
===============UPDATES============================
Ninaushukuru Uongozi wa kanisa Katoliki jimbo kuu la DODOMA kwa kuingilia kati na kuruhusu wanafunzi wote warudi likizo ,Kanisa limeonyesha weledi mkubwa sana na nichukue nafasi hii kulipongeza kwa kuwa sikivu na kuchukua hatua stahiki kwa yote yaliyokua yanaelekea kuporomosha elimu pale shuleni
 
Hapo mwishoni hyo aibu haijanipata hilo la kwanza..

Nachosema wtt kubaki shule ni makubaliano ya wazazi na uongozi wa shule hasa kwa shule za private....

Kuhusu huo mmonyoko wa maadili siwezi uongela kwa sbb mimi siishi nao 24/7...

Kama unaoushahidi wanasagana peleka malalamiko kwa uongozi wa shule na kanisa ili tatizo litatuliwe kupitia bodi ya shule....

Mwisho mimi sio mwalimu maana sina wito hata chembe wa ualimu..

Kama umeona jambo hatarishi toa taarifa na sio kusemea humu bila kuchukua hatua..otherwise ni umbea kama umbea mwingine...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…