Hoja yako ni nini hapa mkuu?
Kufukuzwa kwa sister, kufukuzwa kwa walimu,suala la usagaji, kuajiliwa kwa walimu vijana, kuzuiwa wanafunzi kufunga shule ama?
Naona kama unajichanganya, kama ni usagaji, pindi wakirudi kutoka likizo kama unavyotaka je usagaji utakuwa umekwisha?
Je? Kama asingefukuzwa sister pamoja na walimu wengine usagaji usingetokea? Je huko kwenye tuition unakotaka waende utakuwa na control ya movement zao na vipi huko usagaji haupo mitaani?
Unaamini kwenye tuition kuliko Taaluma ya sasa hapo shuleni kwenu. Kwa nini usiwashauri na wazazi wenzio ili msomeshe watoto wenu kwa mfumo huria wa tuition ili wafanye mtihani kama private candidate?
Mtoto ni wako na wewe una uamzi wa mwisho juu ya hatima ya mwanao, kwa nini usimuchukue mwanao ili uende naye kule unaporidhika nako?
Maswali ni mengi.......
Sent from my Redmi Note 8 using
JamiiForums mobile app