Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Acha uchimvi usiokua na maana yoyote. Aliyekuambia kuwa shule za kike hazina walimu wa kiume ni nani? Mbona mnahemkwa na ushamba namna hii. Wazazi wa kidot.com taabu kwelikweli.
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi cha kuficha upumbavu wako ujui tofauti Kati ya shule za masista na shule za kike?
 
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi cha kuficha upumbavu wako ujui tofauti Kati ya shule za masista na shule za kike?
Anayekuambia (mimi) keshawahi kufundisha hizo shule, hivyo acha ushamba na mihemuko isiyo na mantiki.
 
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa
Watoto wanaferi kwasabab ya influence ya wazaz na sio influence ya walimu , wazaz kila muda wanaamin shule inalenga kupiga ela ila uhalisia sometime shule inalenga kujenga brand , ifike muda muwe mnakaa na walimu kuliko kudanganyana mtaan kisha mnafanyaa maamuz kwa mihemko
 
Anayekuambia (mimi) keshawahi kufundisha hizo shule, hivyo acha ushamba na mihemuko isiyo na mantiki.
Kwakuwa nishakuona ulivyo punga kutofautisha masista na shule za kike za kawaida ngoja niachane nawewe pumzika
 
Kwakuwa nishakuona ulivyo punga kutofautisha masista na shule za kike za kawaida ngoja niachane nawewe pumzika
Hausaidii, utabakia kuwa mzazi dot.com uliyejaa mihemuko. Siku nyingine usije na fitina zako hapa jukwaani. Utakutana na bakora mpaka unyooke.
 
Hausaidii, utabakia kuwa mzazi dot.com uliyejaa mihemuko. Siku nyingine usije na fitina zako hapa jukwaani. Utakutana na bakora mpaka unyooke.
Eti nishawahi kufanya KAZI huoni hata aibu umeshindwa hata kusoma kilichoandikwa tunazungumzia shule za masista unakuja kusema shule za kike halafu kichwa ilivyojaa makamasi unajisifu kabisa nampa pole baba na mama bora wangepeleka ng'ombe shule
 
Wewe mwenyewe umesema kuna walimu wa kiume, sasa unashangaa nini? Aliyekuambia kuwa walimu wa kiume hawatakiwi kufundisha shule hizo ni nani? Nasema acha mihemuko ewe mzazi wa kidigitali.
 
Wewe mwenyewe umesema kuna walimu wa kiume, sasa unashangaa nini? Aliyekuambia kuwa walimu wa kiume hawatakiwi kufundisha shule hizo ni nani? Nasema acha mihemuko ewe mzazi wa kidigitali.
Mary goleth mbeya, mt mary mazinde juu same, mt anne arusha, holy spirit ruvuma, stella maris Tanga,mary immaculate dodoma na zingine nyingi hizi shule zote ni shule ambazo zinaongozwa chini ya masista na walimu hapo ni wakike, kwanini nisinshangae kuona walimu wa kiume wakati shule nyingi za watawa wakike (masista) huwa ni sawa na wamonaki system zao zilivyo, halafu unasema aliyekuambia kuwa walimu wa kiume hawaruhusiwi kufundisha shule hizo ni nani hivi wewe kichwani upo sawa kweli lete shule tano za watawa wakike zenye walimu wakiume mbona unakuwa mpumbavu
 
Zipo nyingi sana, na nimefundisha mbili kati ya hizo na sina muda wa kuzitaja hapa. Hoja yangu ni ileile, wewe unadhani hao Huruma wanajiamulia tu kuleta walimu wa kiume tofauti na doctrine yao? Tukana matusi yote mpaka yaishe, ila upunguze mihemuko ya kuchafua brand ya shule ya wenyewe bila uthibitisho.
 
Hujawahi kufundisha na huwezi kufundisha. KWA kichwa panzi kama wewe samahani KWA ukweli mchungu halafu naomba uniletee reply yangu niliyoichafua shule KWA kuandika kwamba hilo nina uthibitisho nalo ilete hapa
 
Umeshasahau mara hii? Pole queen of mihemuko.
 
Hayo ni maneno YAKO, sababu ya kwanza ni kuhusu masister baadhi wameamishwa kitu ambacho tukiongea na watoto wanasema si kweli hivo sasahivi kupata mawasiliano ya mtoto ni ngumu mno tena wakiongea wanakuwa chini ya uangalizi, sababu ya pili ilikuwa ni performance kwamba atakayepata div1 wataondoka ila ambaye hatapata wastani huo atabaki shule. Halafu hizo tuhuma za usagaji kwenye kikao cha mwisho wanafunzi waliotaka kuongea hayo mambo walinyimwa nafasi ILA wapo wanasema hayo mambo yapo wanafunzi wenyewe na liliongelewa, kingine ni kupelekwa KWA walimu wakiume tena vijana wadogo wadogo, siyo kila kitu mnabisha , ILA mwisho shule in general performance ni exceptional academically ni shule bora dodoma
Majungu matupu..inaonekana umefukuzwa kazi ya ulinzi na masista..
 
Hujawahi kufundisha na huwezi kufundisha. KWA kichwa panzi kama wewe samahani KWA ukweli mchungu halafu naomba uniletee reply yangu niliyoichafua shule KWA kuandika kwamba hilo nina uthibitisho nalo ilete hapa
Ni suala la fake ID tu, inawezekana nimeshakufundisha hata wewe, ewe mzazi dotcom.
 
Mimi siwezi kufundishwa na nguruwe kama wewe unayeshindwa kusoma na kuelewa
Unadhani ukiniita nguruwe ndio inakuwa hivyo? Nenda kaiombe msamaha shule ya watu
Jinsi unavyojiona jinga baada ya kwenda kusoma na kukuta nimeandika hivyo vitu havina uthibitisho nampa pole mama na baba bora wangepeleka nguruwe shule
Haya kasome thread #153, umuite nguruwe aliyecomment. Leo utajua hujui.
 
Wanafunzi kubaki likizo ya mwezi wa 6 nadhani imekuwa ni kawaida .
Mwl Bora ni yule anaemfundisha mtoto Kila wakati sio huyu wa tuition ya mwezi mmoja
Kama Kuna tuhuma za usagaji ni kazi ya wakaguzi kupitia na dawati la jinsia
Hizi tuhuma zimekaa ki tuition tuition sana
 
Back
Top Bottom