Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Mtoa mada atakuwa ni mwalimu aliyefukuzwa kazi hapo shuleni. Kwa hiyo ameleta shutuma zake, huku akiwa na chuki kubwa moyoni mwake.
Bwana Tate , wewe unajua wazi aliyeondoka shuleni ni mkuu wa shule sister aliyekua bora sana , mlimuondoa kwa sababu zipi mnajua wenyewe , waalimu walio fuata kuondoka mnajua wameondoka kwa sababu zipi , walimu wapya walioajiriwa mnajua wenyewe sifa zao ni zipi akiwemo na mkuu wa shule mpya wa kiume. Semeni wazi tetesi za usagaji zilifanya waalimu muwaondoe waliokuwepo , mkihisi hawajasimamia vyema maadili , lakini pia bahati mbaya sana waliokuja kuziba mapengo ni ma payoyo. shule inashuka kitaaluma na kimaadili period. Endeleeni kuruka ruka tu , jana kuna mwenzenu kapigiwa simu usiku amewaeleza waliongea nini na kiongozi mmoja toka wizra ya elimu? kuweni wapole tunawasaidia mrudi
 
Mleta mada nakuona umetawaliwa na unafiki kwenye hili andiko lako.

Nasema ni unafiki kwasababu, umedai shule haina walimu mahiri wameondoka, hivyo itakuwa ngumu kwa wanafunzi kutaka kuhama shule kwasababu ya muda mfupi uliobaki, hii taarifa umeileta kama fact, sio tetesi.

Nakushangaa taarifa za usagaji ulizozileta kama tetesi ndio umezi bold, umefanya hivyo ili kuonesha kwamba lengo lako hasa kuleta huu uzi ni nini.

Sasa kama una kiherehere cha kuripoti taarifa za usagaji wa hiyo shule, kwanini usingefanya uhakika kwa vyanzo vyako ili utuletee taarifa iliyokamilika, badala ya kuzikuza hizi tetesi kwa bold ili zionekane kweli?
bwana Deno
Mkuu wa shule aliyepita alikua sister , shule ilimuondoa unaweza kuniambia sababu? walimu wengine kadhaa waliondolewa baada wa mkuu wa shule kufukuzwa yaan sister unajua sababu? hujui kitu nyamaza kula maandazi .
Watu hatukurupuki kuja kuongea vitu hapa , tuna hofu ya Mungu na weledi mkubwa , nimeacha makusudi kutaja baadhi ya details maana shule ingefungwa within a day na serikali .
Taaluma imeshuka shuleni acha kuchangia kishabiki waulize si masister wanaongoza shule hio au huna salio la kupiga pale DODOMA na kuuliza?
 
Ukweli ni kwamba hiyo tuition fees ipo kwenye shule nyingi hasa za boarding kwenye kipindi Cha likizo Kwa kidato Cha pili na Cha nne KWA HIYO SIO AJABU KWAO. Kama baadhi ya wazazi hamtaki Hilo kaeni na walimu muongee muwachukue watoto wenu na wanaotaka wabaki wabaki. Maana pamoja na kwamba wanafanya hivyo ili kupata pesa ila wanawasaidia watoto wenu.

Kuhusu mapenzi ya jinsia Moja hata mitaani tunasingiziana, utashindwa kuisingizia shule ili lengo lako/lenu litimie?

Thread imekaa kitoto. Kama hamtaki watoto wenu wabaki. Wakatalieni pesa ni za kwenu na watoto ni wenu na faida au hasara ni za watoto wenu sio wao.
Kiongozi naheshimu sana mawazo yako, infact nimegundua kitu kimoja kwamba upo concerned sana na brand ya kanisa kuharibika kuliko watoto wale kuharibika.
Kwa taarifa yako kama hujui basi unafichwa ni kuwa , kulikua na mkuu wa shule sister walimfukuza baada ya tetesi za kimaadali kuibuka shuleni hapo.
Alipofukuzwa akaletwa mkuu wa shule wa kiume check bob mmoja ambaye hajui kazi na shule ikaanza kuporomoka kitaaluma.
Shule imeona inaporomoka kitaaluma inaanza kustress watoto wasipumzike wabaki kufanya tuition
Na kwa taarifa yako fee ya 50k kwa shule binafsi sio kubwa kwa kua wazaz wengi wanajiweza kwa hio ondoa suala la gharama kwenye hoja yako.
mambo ni mawili shule ilifukuza walimu akiwemo sister aliyekuwa mkuu wa shule kwa tetesi za kimaadili yaan usgaji kuanza kuenea shuleni hapo.
Shule ikaleta walimu wapya mapoyoyo hawajui vitu , watoto wanashuka kielimu
 
Yaani hii Nchi ina shida sana...
Huku mikoa mingine ya kina Mangi wazazi wanaomba watoto wanaojiandaa na mtihani wa mwisho wabaki shuleni kwa matayarisho zaidi wakati huko kwa wagogo wanalalamika kuwa wasibaki?
Hayo mambo ya Ushoga achana nayo; hizo ni tabia Binafsi na hata akiwa kijijini akitaka atafanya tu...
Mimi nimesoma shule za Bweni za wavulana pekee zaidi ya wanafunzi 800 kwa shule kwa miaka 6 hivyo mtu hawezi kunidanganya chochote....
Sigara, Bangi, ushoga nk vipo na vilikuwepo ila kwa sasa sababu watu wamepata simu za kutumiana watsup ndio wanatangaza kama biashara na hivyo kufanya hata vijana wapate ham ya kujaribu....
Ukweli ni kwamba hiyo tuition fees ipo kwenye shule nyingi hasa za boarding kwenye kipindi Cha likizo Kwa kidato Cha pili na Cha nne KWA HIYO SIO AJABU KWAO. Kama baadhi ya wazazi hamtaki Hilo kaeni na walimu muongee muwachukue watoto wenu na wanaotaka wabaki wabaki. Maana pamoja na kwamba wanafanya hivyo ili kupata pesa ila wanawasaidia watoto wenu.

Kuhusu mapenzi ya jinsia Moja hata mitaani tunasingiziana, utashindwa kuisingizia shule ili lengo lako/lenu litimie?

Thread imekaa kitoto. Kama hamtaki watoto wenu wabaki. Wakatalieni pesa ni za kwenu na watoto ni wenu na faida au hasara ni za watoto wenu sio wao.
Kiongozi naheshimu sana mawazo yako, infact nimegundua kitu kimoja kwamba upo concerned sana na brand ya kanisa kuharibika kuliko watoto wale kuharibika.
Kwa taarifa yako kama hujui basi unafichwa ni kuwa , kulikua na mkuu wa shule sister walimfukuza baada ya tetesi za kimaadali kuibuka shuleni hapo.
Alipofukuzwa akaletwa mkuu wa shule wa kiume check bob mmoja ambaye hajui kazi na shule ikaanza kuporomoka kitaaluma.
Shule imeona inaporomoka kitaaluma inaanza kustress watoto wasipumzike wabaki kufanya tuition
Na kwa taarifa yako fee ya 50k kwa shule binafsi sio kubwa kwa kua wazaz wengi wanajiweza kwa hio ondoa suala la gharama kwenye hoja yako.
mambo ni mawili shule ilifukuza walimu akiwemo sister aliyekuwa mkuu wa shule kwa tetesi za kimaadili yaan usgaji kuanza kuenea shuleni hapo.
Shule ikaleta walimu wapya mapoyoyo hawajui vitu , watoto wanashuka kielimu
 
Huyu ni mwl aliyefukuzwa pale, shule nyingi za kikatoliki zimekuwa na timuatimua nyingi ya wafanyakazi wake hasa wale wenye tabia mbaya, kwa hali yoyote ile wewe ni miongoni mwao. Swali ni je? Wanasagana kidato cha 4 tuu??? Kijana tafuta ajira kwingine, kanisa katoliki halina nafasi kwa tabia mbovu kama zako.
Ukweli ni kwamba hiyo tuition fees ipo kwenye shule nyingi hasa za boarding kwenye kipindi Cha likizo Kwa kidato Cha pili na Cha nne KWA HIYO SIO AJABU KWAO. Kama baadhi ya wazazi hamtaki Hilo kaeni na walimu muongee muwachukue watoto wenu na wanaotaka wabaki wabaki. Maana pamoja na kwamba wanafanya hivyo ili kupata pesa ila wanawasaidia watoto wenu.

Kuhusu mapenzi ya jinsia Moja hata mitaani tunasingiziana, utashindwa kuisingizia shule ili lengo lako/lenu litimie?

Thread imekaa kitoto. Kama hamtaki watoto wenu wabaki. Wakatalieni pesa ni za kwenu na watoto ni wenu na faida au hasara ni za watoto wenu sio wao.
Kiongozi naheshimu sana mawazo yako, infact nimegundua kitu kimoja kwamba upo concerned sana na brand ya kanisa kuharibika kuliko watoto wale kuharibika.
Kwa taarifa yako kama hujui basi unafichwa ni kuwa , kulikua na mkuu wa shule sister walimfukuza baada ya tetesi za kimaadali kuibuka shuleni hapo.
Alipofukuzwa akaletwa mkuu wa shule wa kiume check bob mmoja ambaye hajui kazi na shule ikaanza kuporomoka kitaaluma.
Shule imeona inaporomoka kitaaluma inaanza kustress watoto wasipumzike wabaki kufanya tuition
Na kwa taarifa yako fee ya 50k kwa shule binafsi sio kubwa kwa kua wazaz wengi wanajiweza kwa hio ondoa suala la gharama kwenye hoja yako.
mambo ni mawili shule ilifukuza walimu akiwemo sister aliyekuwa mkuu wa shule kwa tetesi za kimaadili yaan usgaji kuanza kuenea shuleni hapo.
Shule ikaleta walimu wapya mapoyoyo hawajui vitu , watoto wanashuka kielimu
 
Shule unawezaje kumkatalia mtoto wako kipindi cha likizo na wewe mzazi ukakubali halafu unakuja kulalamika humu?

Kipindi cha likizo ni maamuzi yangu mzazi, shule haiwezi kuniamulia.
 
Video sikuona, ila naomba unieleze wewe ni lini ilisimama. Nasikia wengine jamaa akikukojolea na wewe kwa mbali vitone vinadondoka. Wewe huwa kanasimama (kwa vile najua kashakuwa kama ukucha baada ya kuanza kufilimbwa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ukafanye utafiti, tena nimekupa urahisi wa video ya afande rama.

Sasa hutaki nn?? Uwiiiiiih
 
Duh aisee
Bora mwanae kakwambia ukweli,hiyo inasaidia
Mi shule niliyosoma pia ilikuwa seminary lkn sio ya RC, aisee nilikuwa na rfk angu alikuwa anapendwa na wadada wa form 3&4,si tukiwa form 1-2....
Nikajua anapendwa sbb ya vitu si unajua mambo ya bording ,kabati lake lilikuwa limejaa mazagaza [emoji28]...
Ila tukilala tu anatoka sa Tano ,ananiaga Leo naenda lala Kwa dada lily , sikunyingine Kwa Judy....
Ebe ee siku ya siku wale wadada wakapigana tukiwa hostel usiku aisee ndo Siri ikafichuka,kumbe zamu za kulala mmoja alizidisha,ni siku Moja Moja, rfk angu alikuwa anawasaga mno, sshivi mwalimu wa primary ,kaolewa ana watt 2 ....imagine huyu ndo mwalimu mabinti wanapona kusagwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaa, nimecheka had bas, vipi wee mama mtumishi ulisalimika kweli??
 
Duh aisee
Bora mwanae kakwambia ukweli,hiyo inasaidia
Mi shule niliyosoma pia ilikuwa seminary lkn sio ya RC, aisee nilikuwa na rfk angu alikuwa anapendwa na wadada wa form 3&4,si tukiwa form 1-2....
Nikajua anapendwa sbb ya vitu si unajua mambo ya bording ,kabati lake lilikuwa limejaa mazagaza 😅...
Ila tukilala tu anatoka sa Tano ,ananiaga Leo naenda lala Kwa dada lily , sikunyingine Kwa Judy....
Ebe ee siku ya siku wale wadada wakapigana tukiwa hostel usiku aisee ndo Siri ikafichuka,kumbe zamu za kulala mmoja alizidisha,ni siku Moja Moja, rfk angu alikuwa anawasaga mno, sshivi mwalimu wa primary ,kaolewa ana watt 2 ....imagine huyu ndo mwalimu mabinti wanapona kusagwa?
Duhh..huyo mwalimu lazima atakua anaeasaga wanafunzi wakike! Inasikitisha sana
 
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa
Unamiliki shule gani Dodoma we dada?
Maana inaonekana umetumwa kuichafua huruma girls coz ni kama ni mshindani mkubwa wa shule yako
 
Kwahiyo wew nia yako ni kuharibu kabx an make kwa maelezo yako mtu akisom sidhan kama atampeleka mwanae kwny hio shule
 
Tutake radhi wakatoliki kabla hatujaanza novena ya roho mtakatifu kwa ajili yako wewe na kizazi chako
 
Back
Top Bottom