Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Hayo ni maneno YAKO, sababu ya kwanza ni kuhusu masister baadhi wameamishwa kitu ambacho tukiongea na watoto wanasema si kweli hivo sasahivi kupata mawasiliano ya mtoto ni ngumu mno tena wakiongea wanakuwa chini ya uangalizi, sababu ya pili ilikuwa ni performance kwamba atakayepata div1 wataondoka ila ambaye hatapata wastani huo atabaki shule. Halafu hizo tuhuma za usagaji kwenye kikao cha mwisho wanafunzi waliotaka kuongea hayo mambo walinyimwa nafasi ILA wapo wanasema hayo mambo yapo wanafunzi wenyewe na liliongelewa, kingine ni kupelekwa KWA walimu wakiume tena vijana wadogo wadogo, siyo kila kitu mnabisha , ILA mwisho shule in general performance ni exceptional academically ni shule bora dodoma

Hakuna anayebisha chochote kilicho cha ukweli na Hakika
Tunachotaka proof ya hiyo tetesi ya USAGAJI
Kama ni kweli sheria ichukue mkondo wake kabla athari zake hazijaongezeka
Kama ni tetesi mkazihakiki tusaidiane
 
Ukweli ni kwamba hiyo tuition fees ipo kwenye shule nyingi hasa za boarding kwenye kipindi Cha likizo Kwa kidato Cha pili na Cha nne KWA HIYO SIO AJABU KWAO. Kama baadhi ya wazazi hamtaki Hilo kaeni na walimu muongee muwachukue watoto wenu na wanaotaka wabaki wabaki. Maana pamoja na kwamba wanafanya hivyo ili kupata pesa ila wanawasaidia watoto wenu.

Kuhusu mapenzi ya jinsia Moja hata mitaani tunasingiziana, utashindwa kuisingizia shule ili lengo lako/lenu litimie?

Thread imekaa kitoto. Kama hamtaki watoto wenu wabaki. Wakatalieni pesa ni za kwenu na watoto ni wenu na faida au hasara ni za watoto wenu sio wao.
 
Hakuna anayebisha chochote kilicho cha ukweli na Hakika
Tunachotaka proof ya hiyo tetesi ya USAGAJI
Kama ni kweli sheria ichukue mkondo wake kabla athari zake hazijaongezeka
Kama ni tetesi mkazihakiki tusaidiane
Hilo madam ni shutuma zisizo kuwa na uthibitisho japo wanafunzi baadhi wanasema hayo mambo yapo, na kwenye group wazazi walijaribu kuongelea lakini hakukuwa na majibu yoyote toka upande wa shule ni kama jambo lisiloeleweka ILA jua tu madam hizo ni shutuma zisizo na ushahidi nieleweke hivyo tu
 
Mzazi Kama huna hela ya tuition ongea na Walimu mmalizane lakini syo kuchafua taasisi za watu... kwasabu watoto wanaweza wakaamua warudi au wasirudi au warudi wiki mbili nyumban then warudi waendelee na Masomo au wabaki moja kwa moja.,
Walimu huwa Wana finalize tu maoni ya wanafunzi
 
Wanafunzi wanataka waende nyumbani wakakate mauno,na kupostpost video huko tktk
Huku wakiwafuatalia wakina kajala konde na maumbea mengine [emoji1]

Ova
Mitandao ya kijamii imekuja kwetu wakati hatujajipanga.
Vitoto hadi miaka 10 vinajua kila kitu
 
Siku hizi Taasisi kama huigaki unasingizia ina mapenzi ya jinsia moja, mtu kama humtaki unasema tu ana tabia za upinde
 
Mzazi Kama huna hela ya tuition ongea na Walimu mmalizane lakini syo kuchafua taasisi za watu... kwasabu watoto wanaweza wakaamua warudi au wasirudi au warudi wiki mbili nyumban then warudi waendelee na Masomo au wabaki moja kwa moja.,
Walimu huwa Wana finalize tu maoni ya wanafunzi
Mtoa mada atakuwa ni mwalimu aliyefukuzwa kazi hapo shuleni. Kwa hiyo ameleta shutuma zake, huku akiwa na chuki kubwa moyoni mwake.
 
Shule ya kanisa katoliki kua na wapenzi wa jinsia moja haiwezakane kabisa
Mzee kaa kimya haya mambo hayaangalii dini... Siwezi kusema ktk hiyo shule yapo au hayapo... Ila hali ni mbaya, ni vile Usagaji unaonekana sio issue kubwa kama Ushoga... Ila usagaji upo kwa kiwango Kikubwa sana ktk shule za wasichana
 
Nimesoma shule za kikatoliki kuanzia kidato Cha kwanza mpaka sita nina uhakika na umakini wao hasa linapokuja suala la kusimamia maadili.
Form one tulianza 60 tuliobahatika kumaliza n wanafunzi 20 tu
Labda za wanaume!
Na hizo za wadada pia sio zote Zina shida
Si yalitukuta, Lkn Mungu alitusaidia pamoja na maombi na kumhamisha Hali ilikuwa mbaya sn
 
Labda za wanaume!
Na hizo za wadada pia sio zote Zina shida
Si yalitukuta, Lkn Mungu alitusaidia pamoja na maombi na kumhamisha Hali ilikuwa mbaya sn
Aisee Mungu atusaidie hayo mambo machafu hayafai katika jamii,pelekeni hizo tuhuma sehemu sahihi bila shaka wahusika watalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom