Hayo ni maneno YAKO, sababu ya kwanza ni kuhusu masister baadhi wameamishwa kitu ambacho tukiongea na watoto wanasema si kweli hivo sasahivi kupata mawasiliano ya mtoto ni ngumu mno tena wakiongea wanakuwa chini ya uangalizi, sababu ya pili ilikuwa ni performance kwamba atakayepata div1 wataondoka ila ambaye hatapata wastani huo atabaki shule. Halafu hizo tuhuma za usagaji kwenye kikao cha mwisho wanafunzi waliotaka kuongea hayo mambo walinyimwa nafasi ILA wapo wanasema hayo mambo yapo wanafunzi wenyewe na liliongelewa, kingine ni kupelekwa KWA walimu wakiume tena vijana wadogo wadogo, siyo kila kitu mnabisha , ILA mwisho shule in general performance ni exceptional academically ni shule bora dodoma