olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
- Thread starter
- #221
Mkuu ,kwa ethics zangu nimeficha zaid ya 90% ya ushahidi ili kulinda image ya kanisa , na ndio maana watoto wote wameachiwa leo pale shuleni , it was just the matter of time , jimbo kuu la Dodoma wameshapata ushahidi wangu amabao nisingeuweka hapa , kwa kua wameufanyia kazi na wamewaachia watoto wote sijaona haja ya kuwasumbua zaidi , nina ethics kuliko kawaida , in case wangepuuzia ningeweka kitu hapa ile shule ingefungwa na kufutiwa usajili , tubaki kuandika na kutooana mkuu ,u will be suprisedHapo mwishoni hyo aibu haijanipata hilo la kwanza..
Nachosema wtt kubaki shule ni makubaliano ya wazazi na uongozi wa shule hasa kwa shule za private....
Kuhusu huo mmonyoko wa maadili siwezi uongela kwa sbb mimi siishi nao 24/7...
Kama unaoushahidi wanasagana peleka malalamiko kwa uongozi wa shule na kanisa ili tatizo litatuliwe kupitia bodi ya shule....
Mwisho mimi sio mwalimu maana sina wito hata chembe wa ualimu..
Kama umeona jambo hatarishi toa taarifa na sio kusemea humu bila kuchukua hatua..otherwise ni umbea kama umbea mwingine...