Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa
Yaani hii Nchi ina shida sana...
Huku mikoa mingine ya kina Mangi wazazi wanaomba watoto wanaojiandaa na mtihani wa mwisho wabaki shuleni kwa matayarisho zaidi wakati huko kwa wagogo wanalalamika kuwa wasibaki?
Hayo mambo ya Ushoga achana nayo; hizo ni tabia Binafsi na hata akiwa kijijini akitaka atafanya tu...
Mimi nimesoma shule za Bweni za wavulana pekee zaidi ya wanafunzi 800 kwa shule kwa miaka 6 hivyo mtu hawezi kunidanganya chochote....
Sigara, Bangi, ushoga nk vipo na vilikuwepo ila kwa sasa sababu watu wamepata simu za kutumiana watsup ndio wanatangaza kama biashara na hivyo kufanya hata vijana wapate ham ya kujaribu....
 
Shule kufungwa wakati wa likizo bila kujali darasa la mitihani wizara ilishatoa mwongozo lakini huwa hufatwi. Kwa hiyo mleta anatakiwa ajue sio hiyo Huruma sekondari tu bali ni shule nyingi sana hazifuati huo mwongozo wa wizara ya elimu. Lakini wazazi nao ni majipu tu kwenye hili suala kwani wamegawanyika wapo wanaotaka watoto warudi likizo wengine wanataka watoto waendelee kubaki shuleni wajisomee wakati wa likizo. Ushauri wa bure kwa mleta mada alitakiwa aandike tu barua ya wazi kwa wizara ya elimu kuikumbusha itoe tamko je huo mwongozo bado upo au umebadilishwa.
 
Wewe ni mjinga unachafua makusudi Huruma girls ili ufaidike nn?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
Kanisa katoliki lipo strictly sana Kwa hayo mambo ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja wakibainika wahusika huwa wanachukuliwa hatua mara moja.
Uliza waliopita junior seminaries au major seminaries watakupa majibu.
Kanisa halina mchezo mchezo na issue ya maadili vinginevyo naona km umetumwa hv hya endelea kuwatumikia mabwana zako.
Una uhakika ndugu?
Umesoma hizo shule,au una ndugu waliosoma hizo shule?
Acha kabisa,sio zote Zina shida ila yaliyoko huko Mungu ndo anajua ,Kuna mtt tulilazimika kumhamisha shule akiwa form 2, labda za wanaume ,sijui huko ila sio za wadada
 
Imebidi niingie kwanza kuangalia matokeo ya shule hii. Mwaka juzi imekuwa ya kwanza kimkoa na ipo kwenye hamsini bora kitaifa. Mleta uzi lazima atakuwa kwa namna moja au nyingine ana masilahi binafsi kuichafua shule hii huenda ni mfanyakazi aliyefukuzwa pale au ndugu yake aliyekuwa anamtegemea amefukuzwa pale
 
Shule ya kanisa katoliki kua na wapenzi wa jinsia moja haiwezakane kabisa
na mimi nashangaa, labda ningekuwa sizijui shule za RC. Halafu haya mambo mnayapa promo bure mwisho jamii itaanza kuyaona ni ya kawaida, utekelezaji utaanza
 
RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

Matokeo ya Kidato cha Pili 2022
1684474629742.png
 
Wamezuiwa sababu ya usagaji?
Hayo ni maneno YAKO, sababu ya kwanza ni kuhusu masister baadhi wameamishwa kitu ambacho tukiongea na watoto wanasema si kweli hivo sasahivi kupata mawasiliano ya mtoto ni ngumu mno tena wakiongea wanakuwa chini ya uangalizi, sababu ya pili ilikuwa ni performance kwamba atakayepata div1 wataondoka ila ambaye hatapata wastani huo atabaki shule. Halafu hizo tuhuma za usagaji kwenye kikao cha mwisho wanafunzi waliotaka kuongea hayo mambo walinyimwa nafasi ILA wapo wanasema hayo mambo yapo wanafunzi wenyewe na liliongelewa, kingine ni kupelekwa KWA walimu wakiume tena vijana wadogo wadogo, siyo kila kitu mnabisha , ILA mwisho shule in general performance ni exceptional academically ni shule bora dodoma
 
Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne .

1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo , vijana hao wa kidato cha nne wengi wao hawawezi kubadilisha shule/ kuhama shule kwa sasa , hivyo wanalazimika kubaki shuleni hapo kulinda usajili wao.

Mkuu wa shule hio anadaiwa kuwazuia wanafunzi wote wa kidato cha nne na kuwataka walipe fedha za kufundishwa TUITION kipindi cha likizo ijayo JUNE 2023 kwa kua wanajua shule hio haijawafundisha watoto hao baada ya kuondokewa na waalimu .

Wazazi waliowengi wanatamani wanafunzi wapewe uhuru wa kuamua kurudi kwa wazazi likizo ili wapate masomo ya ziada binafsi kwa waalimu wenye uwezo kuepusha kufail kwenye mtihani ujao .

2.Wazazi wengine wamelalamika pia , tetesi za shule hio kuwa na wanafunzi wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja , hivyo wanaomba watoto wao warudi likizo kuepusha madhara zaidi ya kimaadali

RAI yangu kwa wizara ya ELIMU ,na TAMISEMI PIA, fuatilieni mienendo ya kimaadili kwenye shule hii ya masister iliyopo DODOMA kuna tabia za kimagharibi ambazo wazazi wanashindwa kuzisema waziwazi maana zinadharirisha utu wa watoto wao , ndio maana wengi wanataka watoto wao warudi likizo waongee nao .

==========UPDATES===========
Shule inagoma kuwaachia watoto kwa kuhofia tetesi hizo za usagaji zinaweza kuenea na kupelekea kufungwa au kuchunguzwa
Nadani mtoa mada una chuki binafisi,wazazi wa watoto wa Huruma akitaka kumuona mwanae akienda misa ya jumapili watoto wanasali kanisa kuu,kwahiyo kama mzazi yuko serious hawezi kukosa muda wa kuongea na mwanae,kama kuna jambo lako binafsi fuatilia hapo shuleni uone uongozi na sio kuchafua majina ya shule za watu kwa chuki binafsi...
 
Una uhakika ndugu?
Umesoma hizo shule,au una ndugu waliosoma hizo shule?
Acha kabisa,sio zote Zina shida ila yaliyoko huko Mungu ndo anajua ,Kuna mtt tulilazimika kumhamisha shule akiwa form 2, labda za wanaume ,sijui huko ila sio za wadada
Nimesoma shule za kikatoliki kuanzia kidato Cha kwanza mpaka sita nina uhakika na umakini wao hasa linapokuja suala la kusimamia maadili.
Form one tulianza 60 tuliobahatika kumaliza n wanafunzi 20 tu
 
Wakati mwingine shetani hutumia udhaifu wetu kutupiga. Ndio ushoga ni laana ila kwa promo tunaoipa then tunaukuza kuliko kuuangamiza. Wakati mwingine tunatumika kufanya kampeni bila kujijua. Tuache upumbavu huu wa kukuza mambo. Tunayasambaza
 
Hayo ni maneno YAKO, sababu ya kwanza ni kuhusu masister baadhi wameamishwa kitu ambacho tukiongea na watoto wanasema si kweli hivo sasahivi kupata mawasiliano ya mtoto ni ngumu mno tena wakiongea wanakuwa chini ya uangalizi, sababu ya pili ilikuwa ni performance kwamba atakayepata div1 wataondoka ila ambaye hatapata wastani huo atabaki shule. Halafu hizo tuhuma za usagaji kwenye kikao cha mwisho wanafunzi waliotaka kuongea hayo mambo walinyimwa nafasi ILA wapo wanasema hayo mambo yapo wanafunzi wenyewe na liliongelewa, kingine ni kupelekwa KWA walimu wakiume tena vijana wadogo wadogo, siyo kila kitu mnabisha , ILA mwisho shule in general performance ni exceptional academically ni shule bora dodoma

Sasa kwanini wanaficha issue za usagaji,si wanaweza kuwafukuza watoto wanaofanya hivyo vitendo kwanini wanawalea [emoji848]
 
Back
Top Bottom