Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

Mkuu ,kwa ethics zangu nimeficha zaid ya 90% ya ushahidi ili kulinda image ya kanisa , na ndio maana watoto wote wameachiwa leo pale shuleni , it was just the matter of time , jimbo kuu la Dodoma wameshapata ushahidi wangu amabao nisingeuweka hapa , kwa kua wameufanyia kazi na wamewaachia watoto wote sijaona haja ya kuwasumbua zaidi , nina ethics kuliko kawaida , in case wangepuuzia ningeweka kitu hapa ile shule ingefungwa na kufutiwa usajili , tubaki kuandika na kutooana mkuu ,u will be suprised
 
Aisee basi sawa...ndicho unatakiwa kufanya nilidhani una ushahidi then hujafanya lolote..kwa hilo nakuunga mkono..hata mm ningeona au ningekua na kithibitisho ningefanya jambo...
 
Aisee basi sawa...ndicho unatakiwa kufanya nilidhani una ushahidi then hujafanya lolote..kwa hilo nakuunga mkono..hata mm ningeona au ningekua na kithibitisho ningefanya jambo...
Kwa mtu mwenye akili timamu huwez kuja kutuhumu organization ya kanisa stable kama katoliki kijinga , unaweza kusomewa novena ukapotea hapa duniani, issue za dini sio za kuziingilia kichwa kichwa , i had what it takes kusema hayo mkuu.
Najua kanisa linanishukuru hasa jimbo la DODOMA , they exactly know how i have saved them from menace ya hatari na ajabu sana.
All is Good now
 
Nimeipenda shule iyo, ngoja nimpeleke mwanangu. Akimaliza darasa la Saba. Adi likizo wanafundisha Ili tu wanafunzi wafanye Vizuri duuuhhh!!!
 
Huyo mtu ni mwongo hakuna shule za kanisa haziajiri walimu wa jinsia fulani kwa sababu eti inamilikiwa au kuendeshwa na opposite sex.

Ni mambo ya uongo na ya kujitungia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…