Shule za English Medium ni kiwanda cha kuongeza Depression kwa wazazi na watoto. Serikali iboreshe shule za umma

Ikifikia mtoto anasema hizi shule ni jahanam basi kuna shida mahala

Nakazia hapo shule za serikali ziboreshwe au sheria za kumlinda mtoto na madhila haya ziwepo

Tunajua serikali inajitahidi kuongea na shule binafsi ila huwezi kuanza na kuwapa leseni halafu unakuja na sheria unazoona hazifai kwanini msiwaambie kabla ya kuwapa leseni kuwa watoto wakiwa likizo maana yake likizo

Nani hapendi kuwapeleka watoto likizo wakaone ndugu zao au wakatembelee mbuga za wanyama?

Wazungu wao huwa wanaandaa kuwapeleka watoto hata nchi zingine kutembea huku wazazi wakichangia hela
 
Ndio maana kuna house na mansion, passo na landcruise v8. Jikune unapofikia

English Medium hizi hizi za kumilikiwa na Mr. And Mrs Mugetta, mtaala wa Necta, walimu wanakimbia kila siku kwa kutolipwa mishahara ndio niwalipe milioni hao kwa mwaka aisee nitakuwa na kichaa ama nini
 


Baadhi ya shule za English mediam hapa Tz ni changamoto sana ada yao kubwa average ni 1.2m hadi 2m lakini wanafunzi wanacho pata akiendane na hiyo ada ni likuta mwalimu mmoja hata kiingereza ni kibovu hata kuliko cha mwanangu nili mskia ana mwamlisha mtoto "dont repeat me" kwamaana usinifuatishe maneno.....I was dis appointed.
 
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† halafu ukute anavyoitamka donti
Najua bei zao mkuu ila naona bora wasome shule za serikali na hela hizo unatafuta waalimu wa tuitions wa masomo tofauti
Inaleta ahueni pia kwa mtoto na anapumzika
 
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† halafu ukute anavyoitamka donti
Najua bei zao mkuu ila naona bora wasome shule za serikali na hela hizo unatafuta waalimu wa tuitions wa masomo tofauti
Inaleta ahueni pia kwa mtoto na anapumzika

Mtoto ili awe top student anahitaji home culture nzuri.. yaani nyumbani kuwe na utulivu, amani na upendo

Then apate access ya walimu wa kumfundisha one on one hasa mathematics na kiingereza..

Mtoto akitoka shule ya msingi na uwezo mkubwa wa mathematics na kiingereza huwa anakuwa top student secondary mpaka chuo
 
Nakumbuka ile mwaka wa kwaza chuo kikuu roommates wangu watatu walisoma tusiime...aseee hawakufikisha semista mbili DISCO... course ilikuwa ngumu balaa tujamaa kuna mda hatutak kwenda lecture room...mda wote n PS na kudeka kwa wazaz... Alisepa one by one home ....Ndoo shule za English medium outputs zake n kama hizi..
 
Thank you very much ๐Ÿ˜Š
Haya ndio maneno
 
Kuna harufu ya uongo hapa
 
Ila inashangaza.

Kama fedha ni changamoto, mbona shule za kawaida zipo nyingi tu mtoto anaweza kusoma japo changamoto ndogo ndogo hazikosi. Na ndio maana ya maisha.

Au kuna ugumu gani kwenye kufanya maamuzi? Kulingana na uwezo wa kifedha.

Kinachowakuta wazazi wengi ni kutaka kuiga maisha. Wakati uwezo hauruhusu.

Depression nyingine ni za kujitakia.
 

Kuna kitu mnashindwa kukielewa huo usoft wa mtoto mnaosema au kuona maisha rahisi au kuona kuwa yeye ana anapaswa kuwa na priviledge kuliko wengine anakuwa mlalamikaji sana belive me msingi wake sio shule


Mentality ya mzaz wa kitanzania alielewa kwenye shida au maisha ya kawaida ambaye ana uchu wa Maisha bora akija kuyapata utasikia mie nimeishi kwa shida sitak mwanangu apate shida mtoto au watoto wanageuzwa mboni za jicho haguswi na anapewa na kufanyiwa kila kitu..

Mwisho wa siku ndo ukubwan anapata shida huko kwenye mashule ya private sababu huo mfumo wa kulea watoto kama mboni za jicho upo nao wanaoanzisha hizo shule wanajaribu kuwaridhisha wazaz ili wapate ada

Ila amini nakwambia shule bora kabisa ya maisha kwa mwanao inaanzia kwenye malez yako.. kutokana na utakavyomlea ndio kutamfanya awe group leader ama
Follower.. hata huko kwenye hizo shule za soft utaona kuna watoto wana influence tabia kwa watoto wengine maana yake malez ya huyo mtoto yanakwenda kuathiri watoto wengine mashulen iwe in posotive au negative way so kama mtoto wako utamlea kuwa independent automaticaly yeye ndo atainfluence tabia kwa wengine hata copy za wengine

Mwisho kwenye jamii zetu za ngozi nyeusi circle ya maisha iko hv... babu kama alitaabika ujanan baba yako atajua kupambana na maisha na atatoboa ww utaishi maisha ya usoft maana maisha bora umeyarithi mwanao ataishi maisha ya tabu baada ya kutapanya mali maana hukumfundisha kuwa mpambanaji sababu ww hukufundishwa so matokeo yake mjukuu wako ataanzia moja kwenye maisha kama
Babu yako ..

kwa kifupi kwa alieshi maisha ya tabu akitoboa mali zake zitadumu kwenye generation zake mbili tu si zaid ya hapo sababu tunawalea vizaz vyetu kama Mboni.. mwisho wanashindwa kujimudu..

Huoni wazungu na watu wa asia kampuni
Ilianzishwa 30 years ago bado ipo mikonon mwa Familia

Kwa wabongo utakura historia babu yako au baba alikuwa anamiliki kampun x au biashara x
 
Una majibu mabovu kiasi one would stop and wonder if itโ€™s a human speaking or a toilet overflowing with [emoji90].



Na hata hiyo Tusiime huijui na huna uelewa wa unachokisema.
Jibu bovu liko wapi hapo??

Kwahiyo wewe hilo ni jibu zuri hapo??
Ama kweli "nyani haoni kundule"

Kama na wewe ni mzazi usie na uwezo na umempeleka mwanao hizo shule basi nawe ni hamnazo vilevile.

Niliitaja tusiime coz kuna dogo nilimpeleka pale.
 
๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜† halafu ukute anavyoitamka donti
Najua bei zao mkuu ila naona bora wasome shule za serikali na hela hizo unatafuta waalimu wa tuitions wa masomo tofauti
Inaleta ahueni pia kwa mtoto na anapumzika
Sio hata waalimu... hiyo milioni moja na nusu unamtafutia mwanao laptop nzuri na unamuanzishia home library nzuri na unamnunulia vitabu ajenge tabia ya kujisomea..
 
Sio hata waalimu... hiyo milioni moja na nusu unamtafutia mwanao laptop nzuri na unamuanzishia home library nzuri na unamnunulia vitabu ajenge tabia ya kujisomea..
Hili nalo ni wazo zuri sana Kama na wazazi watafanya bidii zaidi kwa usimamizi wa mtoto
Ushauri mzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ