Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni?

Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?

 
Nyie watu mnajiita akili kubwa halafu hamjiongezi , mpaka niseme nia yangu ilikua nini? mimi nilichotaka ni kujau hiyo Pisi kali ilikua inaitwa nani? mtoto alikua mrembo sana , nilichotaka kujua jina lake na yuko wapi kwa sasa na kama kuna mtu ana Instagram au facebook yake, mrembo kama alikua ana kaa Masaki ,kwa mwnye kumkumbuka anijuze basi, mna bana hadi kona zote , sio vizuri ndugu zangu , acheni hizo.
 
Back
Top Bottom