Nyie watu mnajiita akili kubwa halafu hamjiongezi , mpaka niseme nia yangu ilikua nini? mimi nilichotaka ni kujau hiyo Pisi kali ilikua inaitwa nani? mtoto alikua mrembo sana , nilichotaka kujua jina lake na yuko wapi kwa sasa na kama kuna mtu ana Instagram au facebook yake, mrembo kama alikua ana kaa Masaki ,kwa mwnye kumkumbuka anijuze basi, mna bana hadi kona zote , sio vizuri ndugu zangu , acheni hizo.