Shule za siku hizi hatuendi kutoa ujinga kama zamani

Kwahiyo kiwango cha Ujinga ni Kukosa Ajira Ndugu. Mbona Wewe ndio unaonekana Mjinga kwa Kudhani Mtaani utakutana Na Physics na Mahesabu uliyosoma huko.
 
Ata hio zaman elimu ilikuwa kama ya sasa tu sema kulikuwa hakuna competition kubwa kwenye ajira kama hiv sasa tena wenda zaman ndio watu walikuwa wajinga kuliko hiv sasa.

Sema mitahala ya elimu ya sasa zinataka kubadilishwa ili ziendane na wakati huu.
Hao wa zamani ndio wameufanya ilimwengu kuwa ulivyo.

Technologies innovation zimeanzia hiyo zamani.

Miundombinu waliyojenga iliweza kudumu muda mrefu zaidi kuliko sasa.

How come unasema walikuwa wajinga kuliko sasa?
 
Hao wa zamani ndio wameufanya ilimwengu kuwa ulivyo. Technologies innovation zimeanzia hiyo zamani. Miundombinu waliyojenga iliweza kudumu muda mrefu zaidi kuliko sasa. How come unasema walikuwa wajinga kuliko sasa?
Tunazungumzia wazama wa hapa Tanzania sio wa nje ya Tanzania.

Maana walichosoma baba na babu zetu kwa asilimia kubwa ndivyo tunavyo visoma na ss sahv lakini hakuna walichovumbua kutoka kwenye waliyo yasoma zaid ya wao kuja kutumikia serikali na kwenye mashirika binafsi kama sasa sisi navyotaman kutumika serikali au mashirika binafsi.
 
Wanafunzi wengi wa sasa hivi mibichwa yao imejaaa ngono kuliko akili za kusoma na maisha.Hawajui kutofautisha muda na matukio tena kwa wasichana hali ni mbaya na huku kuvunja ungo mapema ndo hatari kabisa.Huwezi kuendelea ngono ukafanikiwa katika elimu hata kidogo
Halafu jamaa anatutukana walimu eti nasi wajinga ...ha ha
 
Kwasasa ukisoma sana mpaka chuo huko,ukikosa kuajiriwa baada ya kumaliza chuo unakuwa lijinga haswa na endapo kama nyumban kutakuwa hakuna hata kazi za kusaidia zinazoweza kukusaidia kupata vijisenti ndo unakuwa mjinga kabsa
 
Elimu haijabadilika Kijana, Contents ni zilezile, Waalimu wasasa wamefundishwa na Waalimu walewale

Laumu serikali yako iliyoshindwa kutengeneza mazingira ya ajira kwa graduates.

Kama Mwanao au mdogo wako amefeli na yuko mtaani kumbuka kuna watoto wa wenzio wana Div 1:7 na sio wajinga.
UJINGA NDIO HUU SASA...kuamini Div. 1.7 tayari ndio werevu...huyo ndio mjinga mkubwa zaidi...
 
ELIMU UNAYOISOMA SHULENI...NA UNACHOENDA KUFANYIA KAZI NI MBINGU NA ARDHI...
 
Yan wazee wa zamani kujiona vyao ndio bora hamjambo

Elimu ya sasa imeboreka na watu wanapata maarifa sema tatizo ni ushindani uliopo kwenye ajira ndo unatesa vijana

Zamani hamkuwa na elimu bora ila mliajiriwa kwa sababu mlikuwa wachache na ndo mana mlikuwa hamuombi ajira,

Halafu kuhusu kujiajiri mitaji bado changamoto kwa tulio wengi, najua utakuja na u motivation speaker kuwa tuanze tulipo + bla bla ila bila mtaji wa pesa hatutaboa na ninyi wazee hamkutuwekea hata akiba ya 5M tuanzie maisha tunabaki kuwa saidia fundi
Safi sana man. Ila umenichekesha[emoji23][emoji23][emoji23], eti u motivational speaker.
Hawa ma motivational speakers wamekua wengi sana siku hivi

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.

Imepitwa na wakati.

Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.

Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena uliosokomezana.

Hii elimu ni ujinga...Ukitaka kuamini angalia wingi wa wajinga waliojaa mtaani kwa kukosa ajira.

Elimu ya zamani ndio iliyokuwa inatoa ujinga...Sasa hivi yajaza ujinga tu.
Mkuu, ww unayo ipi kati ya hizo?
 
Kwahiyo kiwango cha Ujinga ni Kukosa Ajira Ndugu. Mbona Wewe ndio unaonekana Mjinga kwa Kudhani Mtaani utakutana Na Physics na Mahesabu uliyosoma huko.
Nakazia: Na siku sehemu ya mwili ikimwuma anawahi Hospitali na kutaja ni sehemu gani bila kujua anatumia Biology aliyosoma huko.
 
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.

Imepitwa na wakati.

Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.

Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena uliosokomezana.

Hii elimu ni ujinga...Ukitaka kuamini angalia wingi wa wajinga waliojaa mtaani kwa kukosa ajira.

Elimu ya zamani ndio iliyokuwa inatoa ujinga...Sasa hivi yajaza ujinga tu.
Tutake radhi waalimu kwa kutuita wajinga.

Harafu Siku hizi kwani hujui shule ni kwenda kujua kusoma, kuhesabu na kuandika tu
 
Yan wazee wa zamani kujiona vyao ndio bora hamjambo

Elimu ya sasa imeboreka na watu wanapata maarifa sema tatizo ni ushindani uliopo kwenye ajira ndo unatesa vijana

Zamani hamkuwa na elimu bora ila mliajiriwa kwa sababu mlikuwa wachache na ndo mana mlikuwa hamuombi ajira,

Halafu kuhusu kujiajiri mitaji bado changamoto kwa tulio wengi, najua utakuja na u motivation speaker kuwa tuanze tulipo + bla bla ila bila mtaji wa pesa hatutaboa na ninyi wazee hamkutuwekea hata akiba ya 5M tuanzie maisha tunabaki kuwa saidia fundi
Wanajiona wenyewe ndo wenyewee.Wakiambiwa Sasa umekaa kazini zaidi ya miaka 10 kama ni mtaji ushapata tayari kusudi uachie watoto wako na wao wapate nafasi[emoji13].Utakuwa umeanzisha vita.
Kazi kukomaa mpaka miaka ifike 60+.Ndo asitafu
 
Kwasasa ukisoma sana mpaka chuo huko,ukikosa kuajiriwa baada ya kumaliza chuo unakuwa lijinga haswa na endapo kama nyumban kutakuwa hakuna hata kazi za kusaidia zinazoweza kukusaidia kupata vijisenti ndo unakuwa mjinga kabsa
Siamini kama ndivyo ilivyo. "Kusoma sana" maana yake nn? Mbona vyuoni wanaweka wazi kuhusu suala la Hakuna Ajira Serikalini? Sijui ni kwa nini hatutambui vyanzo vya Ajira. Sekta zinazotoa Ajira: Sekta Binafsi(Private Sector), Sekta ya Umma(Serikali),Taasisi na Mashirika mbalimbali (Institutions). Kuendelea kuilaumu Sekta moja sio vizuri. Tujiongeze. Usichague kazi Wakati huna kazi.
 
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.

Imepitwa na wakati.

Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.

Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena uliosokomezana.

Hii elimu ni ujinga...Ukitaka kuamini angalia wingi wa wajinga waliojaa mtaani kwa kukosa ajira.

Elimu ya zamani ndio iliyokuwa inatoa ujinga...Sasa hivi yajaza ujinga tu.
Elimu yetu ingekuwa inasema wale wazee wote wanao fanya kazi serikalini wakifikisha kuanzia miaka mitano au kumi kazini wastafu Kwa lazima Kwa sababu watakuwa wamepata mtaji wa kuweza kujiajiri Kwa lengo la kupisha graduates na wao wapate nafasi Kwa lengo la kupata mtaji.Ingekuwa muswano Sana[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].Siyo unakuta ki Babu kina miaka zaidi ya 20 kazini kina wa asa graduates Ingali chenyewe kimeajiriwa ukikiambia nipe mtaji kina kujibu anzia na ulicho nacho [emoji1787][emoji1787][emoji1787],mtaji ni akili Yako[emoji28][emoji28],na BLA BLA kibao muda huo kina vutia pesheni yake na kimeiwekea bajeti kabisa[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ni kwamba ile dhana tuliyoaminishwa kuwa nenda shule ukatoe ujinga.

Imepitwa na wakati.

Sasa hivi anayeenda shule anaenda kujaza ujinga na kuongeza ujinga kutoka kwa wajinga(walimu)...Na akihitimu...Anarudi mtaani anakuwa mjinga.

Na hahitajiki popote...Kwa sababu bado ni mjinga tena uliosokomezana.

Hii elimu ni ujinga...Ukitaka kuamini angalia wingi wa wajinga waliojaa mtaani kwa kukosa ajira.

Elimu ya zamani ndio iliyokuwa inatoa ujinga...Sasa hivi yajaza ujinga tu.
Elimu ya zamani na ya Sasa hakuna utofauti mkubwa Sana maana kama ni masomo ni Yale Yale na vilivyo kuwa vikifundishwa ni vilevile maana elimu yetu ni ya urithi kutoka Kwa mkoloni.Sema utofauti wake ni kuwa elimu ya Sasa iko advanced zaidi ukilinganisha na elimu ya zamani.

K.K.S na K.D.S ni Ileile,Magazijuto ni vilevile,Log ni vilevile TU,hawa the bus driver ni yaleyale,Ngungi wa thiongo ndo yaleyale,Genetics ni vilevile, Organic chemistry ni Ileile,Vita vya majimaji ni vilevile,Vishazi,vielezi,nomino ni zilezile TU,
 
Ujinga ni Hali ya Mtu (Binadamu) kutokujua Jambo fulani. Kwa definition hiyo (if it is correct) kila mtu yeyote (mm na ww )ni mjinga yaani huwezi kuwa unajua kila kitu au kuwa a jack of all trades. tunatofautiana tu katika Viwango vya Ujinga.
Kwa mfano ww ulienda shule ndo maana umeweza kuleta Uzi hapa, lakini yupo mwenzio ambaye hajui hata uwepo wa hili Jukwaa na wala hilo halimpi shida. He/She is just happy.
Kwa hiyo mkuu, jipe moyo na pambana - acha Nostalgic thinking= craving for the past.
 
Elimu ya zamani na ya Sasa hakuna utofauti mkubwa Sana maana kama ni masomo ni Yale Yale na vilivyo kuwa vikifundishwa ni vilevile maana elimu yetu ni ya urithi kutoka Kwa mkoloni.Sema utofauti wake ni kuwa elimu ya Sasa iko advanced zaidi ukilinganisha na elimu ya zamani.

K.K.S na K.D.S ni Ileile,Magazijuto ni vilevile,Log ni vilevile TU,hawa the bus driver ni yaleyale,Ngungi wa thiongo ndo yaleyale,Genetics ni vilevile, Organic chemistry ni Ileile,Vita vya majimaji ni vilevile,Vishazi,vielezi,nomino ni zilezile TU,
Naunga mkono hoja. Labda tuseme tu kwamba ck hizi wanatumia zaidi calculators, Computers i.e. wana-google sana, watumia simu mno na matokeo yake wamekuwa watumwa wa Teknolojia hivyo akili zimedumazwa. They don't take trouble to think but copy and paste. Usishangae a graduate can't use just a simple mathematical formulae kwa mfano ulizotaja hapo juu.
 
Back
Top Bottom