Shule zilizoshika mkia matokeo ya Kidato cha Nne 2022

Wakikusikia unalo.
 
Unajua kusoma?
Una akili timamu?
Wapi ametaja dini?
Usilete Mambo ya kiimani kwenye changamoto ambazo tukikaa mezani tunazimudu.
 
Kwa hiyo musa hakuwa muislamu si ndiyo?
Qur an inakujibu sio mm

قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ وَمَا أُنزِلَ إِلَيْنَا وَمَا أُنزِلَ إِلَىٰ إِبْرَاهِيمَ وَإِسْمَاعِيلَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ وَالْأَسْبَاطِ وَمَا أُوتِيَ مُوسَىٰ وَعِيسَىٰ وَمَا أُوتِيَ النَّبِيُّونَ مِن رَّبِّهِمْ لَا نُفَرِّقُ بَيْنَ أَحَدٍ مِّنْهُمْ وَنَحْنُ لَهُ مُسْلِمُونَ

(AL - BAQARA - 136)
Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa(Yesu), na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao(wote ni katika waislam), na sisi tumesilimu kwake.
 
Utajiri wa majini.
 
Kwanini vitabu vibadilishwe badilishwe? Huyu mnyaazi wenu hana uhakika na maneno yake?
 
Sasa unasema hao waliokuwa wanatumia torati walikuwa ni waislamu kwa hiyo musa alikuwa myahudi na muislamu?
 
Jamii
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.

Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃

View attachment 2503295
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi

Source: Malisa GJ instagram account
Forum imekuwa forum ya kifala sana! Unawashwa we mpuuzi
 
Naskitika sana na hii post. Hivi kweli unaeza fananisha kikwete,baresa,samia,mkapa,mwinyi na mwanae na hawa watoto wa mbagara,tabat,chanika,bagamoyo,kusini unguja na vijibweni ambao wenyewe miaka kumi tu wameshaweka vijiti vya kuzuia mimba?

Yaani unawezaje kujisifia kwamba unaishi karibu na matajiri wakati kula yako tu ni ya shida?

Yaani ni sawa na mimi kama mtanzania nione ufahari mo dewij kuwa namba moja kwa utajiri Afrika mashariki na kati.
 
Huyo ana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Ni mjinga sana
 
Ona ulivyokuwa mshamba na maandazi ...Endelea kushinda matoko wazi kama wamasai wenzio .. Uncivilized!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…